KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hapana sipendi kulizingumzia hili kabisa ila mwanamke usimwamini hata iweje ni kiumbe ambacho ni Cha ajabu sana mda wowote atabadilika na mpaka ukashangaa mi nilimiamini sana mke wangu lakini nolicho kutana nachoPole sana mkuu kilitokea nini
Kama hujawahi hisi chochote kwake, Wala hana viashiria vingine kausha na ulitakiwa ukae kimya uendelee na mengine, hapo ni kama unatafta matatizo, usifanye hivyo, kama tatizo lipo litakuja, kama ana viashiria vingine endelea kutafta ushahidi, yote kwa yote muombe Allah Hali hiyo isikutokee atulie usione chochote kibaya kutoka kwake.Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Eti jamani!Si afadhali hata anajali watoto
Pole sana mkuu, wanawake ni hatari sana.Hapana sipendi kulizingumzia hili kabisa ila mwanamke usimwamini hata iweje ni kiumbe ambacho ni Cha ajabu sana mda wowote atabadilika na mpaka ukashangaa mi nilimiamini sana mke wangu lakini nolicho kutana nacho
Nitumie namba zake, na zakoUnisaidie na mimi
FUKUZA huyo Malaya, na hakulala hapo nyumbanNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Usimwamini mwanamke hata kama mmeishi naye miaka 30 .Ndoa za siku hizi bwana!
Sasa hio kufuatilia hivyo , haitoshi umekuja kuliweka mtandaoni!
Ndio kusema wanaume tumeshindwa kuzibeba changamoto za kwenye ndoa?
Ni miaka saba sasa bado hamuaminiani mtatoboa miaka 50 ya ndoa kweli kama wazee wetu?
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
This is fact bro!😄😄 Msiogope Wadogo zetu, ndoa ni kitu cha muhimu sanaa kikubwa hakikisha unaoa mwanamke unayeweza kumControl kwa kila kitu. Sasa tatizo lenu mnaangalia matrakoh na sura zaidi ya hidden traits.
hili suala usingelileta hapa,malizaneni hukohukoNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam
Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa kazi (nyumbani kwetu)
Dada wa kazi saa 19:27 usiku --dada tayari nimepika
Mke saa 19:30 usiku-- watoto wameamka
Dada wa kazi saa 19:31 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:33 usiku-- wameoga
Dada wa kazi saa 19: 34 usiku-- ndio dada
Mke saa 19:36 usiku-- wamekula
Dada wa kazi saa 19: 38 usiku--ndio wamekula
Hizo ndio sms nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu, maswali ya mashaka ni saa 19:30 ya usiku yeye alikuwa wapi mpaka akawa anataka kujua taarifa za nyumbani , je hakuwepo nyumbani kwa muda gani ? Na je alirudi baada ya muda gani.
Nimejaribu kumuuliza maswali hayo lakini napewa majibu mepesi sana, naambiwa baba fulani sasa umezidi sana.
Ananiambia nilienda ofisini kwa mama fulani (iyo ofisini ipo karibu sana na nyumbani )
namuuliza kama ulikuwa karibu namna hiyo kwanini hukurudi nyumbani kujionea kinacho endelea na ukajikita kwenye kuuliza maswali.
Kwa kifupi ni kwamba majibu ninayopewa ni mepesi sana, huyu mwanamke ni mke wangu na nimekuwa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na tuna watoto wawili.
Acha kuchunguza simu ya MkeoNilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam