SMS yenye jina Tundu Lissu yaruhusiwa, ilikuwa ni tatizo la kiufundi

SMS yenye jina Tundu Lissu yaruhusiwa, ilikuwa ni tatizo la kiufundi

Duh ahaha kwa hiyo hata waliotaka kumtukana Mh. Tundu Lissu walishindwa. CHADEMA watafute codeword kuwakilisha Tundu Lissu
 
Hhhhhhaaa... Tanzania yaikosi visa. Makampuni ya simu yajue kuwa kuna maisha baada ya siasa za uchaguzi.
Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa.

Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la kimtandao.
 
Habari haijiroshelezi.hizo taarifa kasema nani? au wewe unahusika kwa namna gani na ukweli wa taarifa hii?
 
Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa.

Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la kimtandao.
Wapi!! Walikuwa wamezuia, kitisho cha Wakili Amsterdam kusema atazihusisha kampuni za simu katika kuwekewa vikwazo ndo wameufyata
 
Mbinu za kitoto kweli,Lisu ana majina zaidi ya 1000,ya kuwasiliana,
Anaharibu uchumi huyu why wanamtii mtu ambae next week atakuwa chattotown au the Hague
Halafu na wewe, nani kasema lissu hana majina ya kuwasiliana? Suala ni msg zenye jina lake halisi kutoenda zilikokusudiwa; tupe hayo majina ili tutumiane msg za kumwombea kura 🤣🤣
 
Wewe Jiwe katutumia sms ngapi ndani ya 24 hours juzi? Pumbavu
Basi itakua wewe ni Lisu na kama sio Lisu watakua wameanzisha kitengo kipya cha kutuma sms hapo Chadema na hiyo ndio kazi yako, maana kukaa na kutuna sms 1000 hiyo itakua ni ajira rasmi kabisa.
 
Back
Top Bottom