Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Halafu na wewe, nani kasema lissu hana majina ya kuwasiliana? Suala ni msg zenye jina lake halisi kutoenda zilikokusudiwa; tupe hayo majina ili tutumiane msg za kumwombea kura š¤£š¤£
Kamanda,mpakwa mafuta,mbelgiji, mwanasheria,codes ni nyingi Sana thus tunasema ni mbinu za kiprimitive.Hadi sasa kila mtza ashajua atamchagua nani hata wazime mitandao au wappkonye simu zote za watz