Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbona Kenya tunapakana nao au adui ni lazima apitie Zanzibar pekee na ni adui wa nini? haya ni mawazo ya kijinga snHivi visiwa lazima tuvitawale kwa sababu ya kiusalama,, ukotoa zile Millitary base za JWTZ Unguja na Pemba basi ujue bara kwetu sio salama tena.
Maana pemba na Tanga ni dakika 55 kwa fast boat,, Unguja na Dar ni dakika 70 mpaka 60 kwa boat, hii inamaana adui akiingia visiwa hivi mfano vikundi vya ugaidi ujue hatutokua salama tena.
Serikali iweke mikakati madhubuti tu katika Muungano huu.
Ni mambo ya hovyo snNa kosa la kutuletea kimungu Mwenge. Akatuaminisha Mwenge unaleta amani, lakini Vita ilipotokea Kagera, akapeleka Baba zetu Na ndugu zetu wakafa huko, hahuhapeleka kamungu kake kakalete amani
Hakika. Pia kasome Isaya 50:11 uone jinsi Mwenge unavyoleta balaa kwenye taifa hiliNi mambo ya hovyo sn
Naona holela sio haramuIsijekuwa hili wimbi la kupotea na kutekwa Kwa Watoto wakawa wanapelekwa Zanzibar Kwa sababu ambazo hatujui.
Mmlaka zifanye Uchunguzi na kuchukua hatua huenda hizi takwimu hapa zikaleta jibu,Kwa nini ulawiti uwe mkubwa Zanzibar (Mjini Magharibi)?
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1816165725972639991?t=YzA9GY85epGOVaWNoJ34fg&s=19
My Take
Poleni sana Wahamiaji Haramu wa Bara 😂😂👇👇👇
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1816160280021192785?t=j-3YgFDjmrwUBAp_Roc2_w&s=19
Mkuu dunia nzima inataka kupanua maeneo ya nchi yao ukiwa na eneo kubwa ni Mali toshaMbona Kenya tunapakana nao au adui ni lazima apitie Zanzibar pekee na ni adui wa nini? haya ni mawazo ya kijinga sn
Kaongea ukweli sio ubaguzi ebu soma vizur alichosemaTunawaambia kila siku wazanzibar ni wabaguzi kupita kiasi
Takwimu hizo zimepatikana vipi?Isijekuwa hili wimbi la kupotea na kutekwa Kwa Watoto wakawa wanapelekwa Zanzibar Kwa sababu ambazo hatujui.
Mmlaka zifanye Uchunguzi na kuchukua hatua huenda hizi takwimu hapa zikaleta jibu,Kwa nini ulawiti uwe mkubwa Zanzibar (Mjini Magharibi)?
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1816165725972639991?t=YzA9GY85epGOVaWNoJ34fg&s=19
My Take
Poleni sana Wahamiaji Haramu wa Bara 😂😂👇👇👇
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1816160280021192785?t=j-3YgFDjmrwUBAp_Roc2_w&s=19
Hakuna sababu ya kwenda kusoma Isaya mwenge ni ushirikina tupuHakika. Pia kasome Isaya 50:11 uone jinsi Mwenge unavyoleta balaa kwenye taifa hili
Mkuu kwani hujui Zanzibar ni Nchi??hii lugha ya 'wahamiaji holela' haipendezi kuisikia ndani ya tanzania.
Kwanini nchi ikose sarafu yakeMkuu kwani hujui Zanzibar ni Nchi??
Hao jamaa si wamekosa Sarafu yao tu ili wawe Nchi kamili 😜
Angesema Mbowe mngesema ameongea ukweli? sitaki hata kurudia kusoma takatakaKaongea ukweli sio ubaguzi ebu soma vizur alichosema
Congo inaeneo kubwa kupita kiasi ina nini cha maana? Israel, Ukraine n.k zina maeneo madogo mbona zipo juu kuliko Africa nzima kimaendeleo?Mkuu dunia nzima inataka kupanua maeneo ya nchi yao ukiwa na eneo kubwa ni Mali tosha
Usitake kuwaamsha...Kwanini nchi ikose sarafu yake
Chogo kaeni huko huko Tanganyika kwenuAmesema mwaka jana watoto 66 waligunduliwa mitaani baada ya kuingia Zanzibar kwa njia zisizo halali kutoka Tanzania Bara.
Kama ni hivi huwa sielewi maana ya muungano kabisa🤔🤔
Nashangaa unaandika kwenye mtandao alioanzisha chogoChogo kaeni huko huko Tanganyika kwenu
Mnashindwa kulea mnakwenda kuwatupa watoto Zanzibar au mna agenda zingine?Hao nyani wa pemba ni wabaguzi sana
Aliutaka Karume mwenyewe sio sieeHuu muungano wa kijinga kweli kweli.