Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbona Kenya tunapakana nao au adui ni lazima apitie Zanzibar pekee na ni adui wa nini? haya ni mawazo ya kijinga snHivi visiwa lazima tuvitawale kwa sababu ya kiusalama,, ukotoa zile Millitary base za JWTZ Unguja na Pemba basi ujue bara kwetu sio salama tena.
Maana pemba na Tanga ni dakika 55 kwa fast boat,, Unguja na Dar ni dakika 70 mpaka 60 kwa boat, hii inamaana adui akiingia visiwa hivi mfano vikundi vya ugaidi ujue hatutokua salama tena.
Serikali iweke mikakati madhubuti tu katika Muungano huu.