Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Usiku mwema mhamiajiNyie watanganyika hatutaki mupeleke ulokole wenu Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiku mwema mhamiajiNyie watanganyika hatutaki mupeleke ulokole wenu Zanzibar
ContextNeno uhamiaji ni pana sana. Kumbuka kutoka kitongoji, kijiji kimoja, mtaa au mji mmoja, jiji, nchi au bara moja kwenda kwingine bado ni uhamiaji!
Hivyo wapo sahihi!
😆😆😆😆Usiku mwema mhamiaji
Wanao ng'ang'ania huo upumbavu ni ccmSwali ni moja tu, kwanini tunawang'ang'ania?
Kama kweli tuna nia madhubuti ni kiasi cha maneno mawili tu.
Nayo ni " vunja muungano "
Sasa tunapiga kelele na huku hatuwezi kuchukua hatua, iko siku hata sisi tutaingia kwa viza nyie subirini tu
Wanajiona wako juu.Sijaelewa hata kidogo kama ni ubaguzi ndani ya nchi moja. Au Zanzibar ni Kenya?
Kama ni kweli inaitajika uchuñgizi maana huku wanapotea alafu kule wako wengi ...naona wako sahihi kutoa hio taarifa ila tumeipokea vibaya
Hivi visiwa lazima tuvitawale kwa sababu ya kiusalama,, ukotoa zile Millitary base za JWTZ Unguja na Pemba basi ujue bara kwetu sio salama tena.
Maana pemba na Tanga ni dakika 55 kwa fast boat,, Unguja na Dar ni dakika 70 mpaka 60 kwa boat, hii inamaana adui akiingia visiwa hivi mfano vikundi vya ugaidi ujue hatutokua salama tena.
Serikali iweke mikakati madhubuti tu katika Muungano huu.
Nilipita hivi karibuni Hapo Forodhani muda wa saa 3 usiku hivi.
Ni kweli nimekuta baadhi ya Vijana wadogo wa below 15yrs wakiomba omba na wengi wachache wakijishughulisha na mambo ya dance Kwa Wageni hasa Wazungu huku wakilipwa kiasi kidogo cha fedha.
Japo kwenye hili, hata Watoto wenyewe wa Kizanzibar nao walikwepo.
Nadhani kama Wazazi tujitahidi kuwajibika kwenye malezi ya watoto wetu, ukiwa irresponsible father hayo mambo tuyategemee sana kwenye jamii zetu
Hahaha.......nami pia nimeona hivyo, sikupendezwa na tabia yao ya kupita pita Kwa Wazungu na kuanza kuwaomba omba vihela.wale vijana pale forodhani ni wa ovyo sana, tena wakicheza cheza huwa wanajiona wajanja sana
Hahaha.......nami pia nimeona hivyo, sikupendezwa na tabia yao ya kupita pita Kwa Wazungu na kuanza kuwaomba omba vihela.
Nimeona ni kama Wana tudhalilisha wote Kwa tabia yao
Karibu nchi zote, waarabu hawapendi sn mambo ya elimu wao ni dini na dili
Na ccm ni chama tawala nchini msumbijiWanao ng'ang'ania huo upumbavu ni ccm
Wilaya ina rais??tukisema icho kiwilaya kiondoke kwenye nchi yetu kijitegemee, wanagoma, inakuwaje wanawafanya watoto wa bara kama vile ni wageni toka nchi za nje? yaani watoto wa kitanzania ni wahamiaji ndani ya tanzania?
Kaandike vizuri urudi mkuuUNAJIADHIRISHA MKUU
Umesema sahihi Mkuu, Kuna watu wameshazoea kuomba ombaMkuu waafrica wengi wetu hatuna self respect, na ndio mana kuomba omba tunaona ni jambo la kawaida tu
mara zote Zanzibar ndio wanaowasokota Tanganyika, sijui wanatandikwa wasile mchana Mara wamasai alimradi viashiria ni vingi sanaKwa kifupi wanamaanisha kuwa Zanzibar ni Nchi na hawataki mazoea na ninyi vichogo