SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

Swali ni moja tu, kwanini tunawang'ang'ania?

Kama kweli tuna nia madhubuti ni kiasi cha maneno mawili tu.
Nayo ni " vunja muungano "
Sasa tunapiga kelele na huku hatuwezi kuchukua hatua, iko siku hata sisi tutaingia kwa viza nyie subirini tu
Wanao ng'ang'ania huo upumbavu ni ccm
 
Kama ni kweli inaitajika uchuñgizi maana huku wanapotea alafu kule wako wengi ...naona wako sahihi kutoa hio taarifa ila tumeipokea vibaya

mkuu watu waliojaa chuki ndani ya nafsi zao unategemea nini chengine? badala kuitathmini taarifa wao IN secureness ndio inayowatesa
 
Hivi visiwa lazima tuvitawale kwa sababu ya kiusalama,, ukotoa zile Millitary base za JWTZ Unguja na Pemba basi ujue bara kwetu sio salama tena.
Maana pemba na Tanga ni dakika 55 kwa fast boat,, Unguja na Dar ni dakika 70 mpaka 60 kwa boat, hii inamaana adui akiingia visiwa hivi mfano vikundi vya ugaidi ujue hatutokua salama tena.
Serikali iweke mikakati madhubuti tu katika Muungano huu.

hoja ya kifala sana
 
Nilipita hivi karibuni Hapo Forodhani muda wa saa 3 usiku hivi.

Ni kweli nimekuta baadhi ya Vijana wadogo wa below 15yrs wakiomba omba na wengi wachache wakijishughulisha na mambo ya dance Kwa Wageni hasa Wazungu huku wakilipwa kiasi kidogo cha fedha.

Japo kwenye hili, hata Watoto wenyewe wa Kizanzibar nao walikwepo.

Nadhani kama Wazazi tujitahidi kuwajibika kwenye malezi ya watoto wetu, ukiwa irresponsible father hayo mambo tuyategemee sana kwenye jamii zetu

wale vijana pale forodhani ni wa ovyo sana, tena wakicheza cheza huwa wanajiona wajanja sana
 
wale vijana pale forodhani ni wa ovyo sana, tena wakicheza cheza huwa wanajiona wajanja sana
Hahaha.......nami pia nimeona hivyo, sikupendezwa na tabia yao ya kupita pita Kwa Wazungu na kuanza kuwaomba omba vihela.

Nimeona ni kama Wana tudhalilisha wote Kwa tabia yao
 
Hahaha.......nami pia nimeona hivyo, sikupendezwa na tabia yao ya kupita pita Kwa Wazungu na kuanza kuwaomba omba vihela.

Nimeona ni kama Wana tudhalilisha wote Kwa tabia yao

Mkuu waafrica wengi wetu hatuna self respect, na ndio mana kuomba omba tunaona ni jambo la kawaida tu
 
Bado sijaelewa sababu ya wachangiaji kumwaga mapovu, ni ishu muhimu sana inayojadiliwa kijinga
 
tukisema icho kiwilaya kiondoke kwenye nchi yetu kijitegemee, wanagoma, inakuwaje wanawafanya watoto wa bara kama vile ni wageni toka nchi za nje? yaani watoto wa kitanzania ni wahamiaji ndani ya tanzania?
Wilaya ina rais??

Ushajiuliza Tanganyika yupo rais au yupo rais wa muungano
 
Kwa kifupi wanamaanisha kuwa Zanzibar ni Nchi na hawataki mazoea na ninyi vichogo
 
Tunakimeza kisiwa hicho taratibu, kwa raha zetu. Vipi kuwe na kitovu cha Uislam jirani yetu?

Hiyo siyo ser ya Tanganyika lakini watu wa Tanganyika wameshajazwa ujinga "brain washed" kuwa na mtazamo huo.

Vita ya kisayansi imeanza kupigwa na wamghatribi walipoanza kujaza hoteli za "kitalii" zenye kila maasi, wataofanya kazi humo ni kina nani zaidi ya Waislam wa Zanzibar? Kuna maadili ya Kiislam yanayobaki tena hapo?

"Kwa heri ukoloni kwaheri Zanzibar".
 
Umeongea ukweli maana
Kwa kifupi wanamaanisha kuwa Zanzibar ni Nchi na hawataki mazoea na ninyi vichogo
mara zote Zanzibar ndio wanaowasokota Tanganyika, sijui wanatandikwa wasile mchana Mara wamasai alimradi viashiria ni vingi sana
 
Back
Top Bottom