Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Dawa ya jino tena ya kienyejiNi kweli coca siku hizi haisisimui.. Ladha yake baridi sana kama unakunywa dawa ya mganga.. π
Pepsi ndo soda yangu.Hi [emoji112]
Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
Ndio tupoBado kuna watu wanakunywa soda
Mimi nna miaka 15 sijui soda mpaka sasa
Ova
Mimi pia now nimehamia pepsPepsi ndo soda yangu.
Mimi sijui hata Ina radha gan nna eti soda ndio niniBado kuna watu wanakunywa soda
Mimi nna miaka 15 sijui soda mpaka sasa
Ova
Ni barid kama maji ya mtoniMimi sijui hata Ina radha gan nna
Daah siijui soda nna mda mrefu sanaNi barid kama maji ya mtoni
Ahahh hunger sanaDaah siijui soda nna mda mrefu sana
Haya mageni ase ahahahLadha yake (coke) inategemea na mkoa/kanda ulipo Mkuu.
Usiniulize kivipi, sijui sana.
Ahahha mkuu soma ulicho andika π€£π€£π€£Pepsi bariidi baada ya kunya supu
No coca cola ina taste tofauti. Na mostly kila kanda ina taste yake.Kwahiyo izi za chupa feki?
Soda ya watoto ni Fanta orange tumimi nilijua soda ni kwa ajili ya watoto tu