Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Acha ushamba fala ww

Tafuta ilioandikwa "ORIGINAL TASTE"
Hiyo hapo...
JPEG_20230806_215729_8840014083155897644.jpg
 
Unamaanisha wanatumia formula na ingredients tofauti?
Hii nililenga kujibu hoja ya niliye m quote KAMA alichoandika NI KWELI.

Ukiniuliza mimi binafsi naweza sema, Theoretically wanasema Formula ni Sawa ila Practically inawezekana kuna Utofauti....

Hata Pasi ya Philips Ya Indonesia haiwezi fanana na Ya China.
 
Hii nililenga kujibu hoja ya niliye m quote(KAMA NI KWELI).

Ukiniuliza mimi binafsi naweza sema, Theoretically wanasema Formula ni Sawa ila Practically inawezekana kuna Utofauti....

Hata Pasi ya Philips Ya Indonesia haiwezi fanana na Ya China.
Sawa. Kwa hiyo ya mkoa ipi bado ina ladha ileile wanayosema ya zamani og?
 
No coca cola ina taste tofauti. Na mostly kila kanda ina taste yake.

Ila zamani tulikuwa tunakunywa ile taste moja.

So ukitaka upate ile taste ya zamani tafuta ilioandikwa "original taste", ni lugha ya kibiaashara ikimaanisha taste ya kwanza iliovumbuliwa na coca cola
Hakuna kitu kama hicho, umeanza kuongea vizuri mwanzoni soda hutofautiana taste japo si sana hii kwa sababu ya Maji yanayotumika dar, Mby, Mwanza na Kilimanjaro kuwa tofauti. hiyo inayoandikwa original taste ni lugha ya kibiashara tu, ni sawa Kuna wakati watu walikuwa wanataka Pepsi chupa ya zamani kuwa ni tamu kuliko chupa mpya wakati soda ni ileile kiwanda hubadilisha ili muone mpya
 
Hi 👋

Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
Ni kweli coca siku hizi haisisimui.. Ladha yake baridi sana kama unakunywa dawa ya mganga.. 😉
Coca ni kama unakunywa chai ya rangi iliyo poa tu.
Wenyewe wanadai eti wanauza brand
 
Hakuna kitu kama hicho, umeanza kuongea vizuri mwanzoni soda hutofautiana taste japo si sana hii kwa sababu ya Maji yanayotumika dar, Mby, Mwanza na Kilimanjaro kuwa tofauti. hiyo inayoandikwa original taste ni lugha ya kibiashara tu, ni sawa Kuna wakati watu walikuwa wanataka Pepsi chupa ya zamani kuwa ni tamu kuliko chupa mpya wakati soda ni ileile kiwanda hubadilisha ili muone mpya
Aisee sijui ww ni mkemia wa kuchanganya gongo.

Coca cola ilioandikwa original taste, ina taste ambayo ni uniform.
 
Hakuna kitu kama hicho, umeanza kuongea vizuri mwanzoni soda hutofautiana taste japo si sana hii kwa sababu ya Maji yanayotumika dar, Mby, Mwanza na Kilimanjaro kuwa tofauti. hiyo inayoandikwa original taste ni lugha ya kibiashara tu, ni sawa Kuna wakati watu walikuwa wanataka Pepsi chupa ya zamani kuwa ni tamu kuliko chupa mpya wakati soda ni ileile kiwanda hubadilisha ili muone mpya
Soda ya mbeya ni tamu sana ziaid ya soda ya dar.

Huenda kweli maji huchangia sana mkuu, soda dar ya moto hunywi ni mbaya.
 
Coke ya Zamani Asaivi? Sidhaniii...,
Hata kimataifa Coke wanalamikiwa kuwa ladha ya Kunywaji chao imeshukaa..

Nchi ambayo bado inayozalisha Coca-Cola bora Duniani ni Macedonia labda na Mexico.
Wamexico huwaambii kitu kuhusu Coca Cola.

Wanaipenda sana

Kuna jamaa Mmexico tulikuwa naye kwenye project fulani mkiwa mnapiga lunch atafanya juu chini apate Coca Cola pembeni akikosa hakubali kunywa soda nyingine yoyote hata kama ni jamii ya Cola kama Pepsi
 
Chukua coca cola baridi Sana,
changanya na k vant kidogo,
changanya na double kick kwa mbali, changanya na maji ya dew drop kidogo. Weka ndimu au limao kwa mbali. Kunywa hiyo coca cola nitamu Sana yaani. 😀😀😀😀😀😀
Mtu anayekunywa K-vant namuona kama ni mtu aliyekosea chaguo la kunywa kabisa..yaani ni kama mataputapu..

Nakosea kwa kiasi gani hapa??
 
Back
Top Bottom