Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu niambie nipo dar test yake ipoje?No coca cola ina taste tofauti. Na mostly kila kanda ina taste yake.
Ila zamani tulikuwa tunakunywa ile taste moja.
So ukitaka upate ile taste ya zamani tafuta ilioandikwa "original taste", ni lugha ya kibiaashara ikimaanisha taste ya kwanza iliovumbuliwa na coca cola
Ahahah inabidi nitafuteHauna Hela ya kunywa coca-cola pure
Nakunywa ila naiogopa pombeNi dalili umri umekutupa mkono jenga afya yako kunywa vitu vyenye maana mwilini na akilini... Kunywa pombe
Utoto ulikuwa unakusumbua Hadi Radha unaisikilizia dahMiaka ya 90 na 2000 mwanzoni coca cola, ilikuwa tamu saana [emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka mkoani kwetu duka lilikuwa moja tu na soda ilikuwa ukununuliwa moja mnagawana watoto wote sio sikuiz G anamaliza chupa moja peke yakeMiaka ya 90 na 2000 mwanzoni coca cola, ilikuwa tamu saana [emoji1787][emoji1787]
Utaionea huruma pesa yakoNgoja nikanunue nna mwaka na nusu sijainywa
Kama una umri kuanzia 30+ogopa vunywaji vya sukari sio uogope pombe...Nakunywa ila naiogopa pombe
Coke kila ukanda kuna wazalishaji wao..Ladha yake (coke) inategemea na mkoa/kanda ulipo Mkuu.
Usiniulize kivipi, sijui sana.
Labda utoto ila wazee watakuambia piaUtoto ulikuwa unakusumbua Hadi Radha unaisikilizia dah
Hapana mkuuKama una umri kuanzia 30+ogopa vunywaji vya sukari sio uogope pombe...
Ubaguz uhuu soda mbayaCoke kila ukanda kuna wazalishaji wao..
Niliyo na uhakika nayo ni Kaskazini, Dar na Kanda ya ziwa, watengenezaji ni tofauti kabisaa..
Mbobezi
Unamaanisha wanatumia formula na ingredients tofauti?Coke kila ukanda kuna wazalishaji wao..
Nilivyo na uhakika nayo ni Kaskazini(bonite) Dar(coca cola kwaza) na Mwanza(Nyanza) watengenezaji ni tofauti kabisaa..
Unaniua kabisaaChukua coca cola baridi Sana,
changanya na k vant kidogo,
changanya na double kick kwa mbali, changanya na maji ya dew drop kidogo. Weka ndimu au limao kwa mbali. Kunywa hiyo coca cola nitamu Sana yaani. 😀😀😀😀😀😀
Sikuui nakupa taste tamu zaidi heroin. 😀😀😀😀😀😀Unaniua kabisaa