Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Coke ya Zamani Asaivi? Sidhaniii...,
Hata kimataifa Coke wanalamikiwa kuwa ladha ya Kunywaji chao imeshukaa..

Nchi ambayo bado inayozalisha Coca-Cola bora Duniani ni Macedonia labda na Mexico.
Huko Mexico wasije wanaweka na ule Unga [emoji1787]
 
Hakuna cha maji sijui nini.

Hio ni sehemu ya biashara. Kila kanda ina taste yake.

Lakini huwa kuna ile taste ya mwanzo n kale huwa ipo kila mkoa sema zinakuwa finyu
Taste ya mwanzo??
Kwanini zinakua finyu?
 
Ni kweli coca siku hizi haisisimui.. Ladha yake baridi sana kama unakunywa dawa ya mganga.. [emoji6]

Hii ni kweli, pia ladha inategemea na mkoa ambapo kiwanda kimezalisha, same as maji ya kilimanjaro yani utadhani yameondoka na mzee wetu Reginald.

Soda ya bonite, Kwanza na Nyanza ni tofauti! Nyie jamaa wa Coca mnajua mnatufanya tuhamie kwa Pepsi bila kupenda! Mnazingua.

Kipindi cha hayati ilikua mnatulazimisha ma sugar free sijui mlishindwa kuimport sukari au ! Saivi ladha iko blunt kama juice ya ubuyu!
 
No coca cola ina taste tofauti. Na mostly kila kanda ina taste yake.

Ila zamani tulikuwa tunakunywa ile taste moja.

So ukitaka upate ile taste ya zamani tafuta ilioandikwa "original taste", ni lugha ya kibiaashara ikimaanisha taste ya kwanza iliovumbuliwa na coca cola

Ya kanda ya ziwa ndio mimba kabisa [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Hi [emoji112]

Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini

Pepsi washacheza na ulimi wako,walikaa sana maabala hawa jamaa.
 
Mi nilijua coca zimeanza kunikataa manake kila nikinunua siwezi kumaliza chupa moja wakati kawaida nakunywaga mbili ndio natosheka.
 
Mi nilijua coca zimeanza kunikataa manake kila nikinunua siwezi kumaliza chupa moja wakati kawaida nakunywaga mbili ndio natosheka.
Hapana coca now ni mbaya ukinunua unajilaumu pesa yako impending bure
 
Hakuna cha maji sijui nini.

Hio ni sehemu ya biashara. Kila kanda ina taste yake.

Lakini huwa kuna ile taste ya mwanzo n kale huwa ipo kila mkoa sema zinakuwa finyu
Embu tuondoe ubishi ziletwe coca cola zote za kanda zote tuonjè
 
Back
Top Bottom