Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Hi 👋

Soda ya Coca-Cola kwakweli ni mbaya sana sijui kwangu yaani soda ukitoa kwenye friji bas soda hainaa radha ila Pepsi iko vizuri sana Coca-Cola jitafakarini
Mkuu zote hata pepsi..

Yaani zimekuwa za hovyo mno ladha hadi harufu. Zina kaharufu flani kabaya sana.


Now niko na 7up au sprite basi.
 
Ni kweli coca siku hizi haisisimui.. Ladha yake baridi sana kama unakunywa dawa ya mganga.. [emoji6]
Wamepunguza kiasi kikubwa cha Cokein kwenye Cola! Kumbe Watanzania wengi mnapenda kubembea Kama mateja kila saa mnataka msisimko!![emoji1]
 
hizi soda ukiziweka kwenye jokofu badae zikapata moto kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom