Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Ni kweli coca siku hizi haisisimui.. Ladha yake baridi sana kama unakunywa dawa ya mganga.. [emoji6]
Hilo li soda halijawai kua na radha.

Wanauza kwa Matangazo tu.

Hata kwenye sherehe na Misiba crate la Coca ndo linakuaga la Mwisho
 
Back
Top Bottom