Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Eti Dr kutoka SUA
Mkuu hii ni simple logic tu haitaji rocket science kulijua hili.
Ipo hivi anaekunywa beer anakojoa mara kwa mara anasafisha kibofu ila mnywaji wa soda hakojoi mara kwa mara.
Bia gani mzuri
 
Mtu anayekunywa K-vant namuona kama ni mtu aliyekosea chaguo la kunywa kabisa..yaani ni kama mataputapu..

Nakosea kwa kiasi gani hapa??
Wewe sikiliza, kila mtu anachaguo lake hata wewe kunywa savanna mwingine anakuona wewe demu. 😀😀
 
Coca sio soda jamani kiwanda kifungwe tu, labda kidooogo yaani kidooogo fanta
 
Back
Top Bottom