Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Hongera kwa mtengenezaji wa Mirinda Nyeusi,hiki kinywaji kama ulishawahi kukitumia kikiwa cha bardiii utaungana na hoja yangu[emoji39][emoji7][emoji7]
Hii nina muda sijainywa
Hebu Wikiend hii ninywe
 
Ladha yake (coke) inategemea na mkoa/kanda ulipo Mkuu.

Usiniulize kivipi, sijui sana.
Maji wanayoyatumia kutengeneza hizo Coke ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿช‘๐Ÿช‘๐Ÿช‘๐Ÿ’บ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
 
Back
Top Bottom