Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

Wamexico huwaambii kitu kuhusu Coca Cola.

Wanaipenda sana

Kuna jamaa Mmexico tulikuwa naye kwenye project fulani mkiwa mnapiga lunch atafanya juu chini apate Coca Cola pembeni akikosa hakubali kunywa soda nyingine yoyote hata kama ni jamii ya Cola kama Pepsi
AMEONJA YA HUKU BONGO?
 
Bei ya soda unazokunywa ndiyo zinakupa ladha unayotaka kinywaji kizuri hakiwekwi kwenye chupa za ovyo
 
Hongera kwa mtengenezaji wa Mirinda Nyeusi,hiki kinywaji kama ulishawahi kukitumia kikiwa cha bardiii utaungana na hoja yangu[emoji39][emoji7][emoji7]
 
Super market kaka namaanisha (SUPER MARKET) anza na mlimani city utapata Hadi zile za kupima achana na chupa zitakung'oa meno..
Ahahahah hayo maisha ya watu wa upanga sio mimi
 
Hongera kwa mtengenezaji wa Mirinda Nyeusi,hiki kinywaji kama ulishawahi kukitumia kikiwa cha bardiii utaungana na hoja yangu[emoji39][emoji7][emoji7]
Kabisa kina test nzuri
 
Back
Top Bottom