The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hataki hata kuelewa....yeye anaamini waturuki waarabu ...Uturuki kama Urusi ipo kote kote Ulaya na Asia.
View attachment 2439900
Ukiangalia hapo Georgia, Armenia, Azerbaijan zote zipo Ulaya na zinapakana na Iran ila zipo mbali na Ulaya kuliko Uturuki.
Pia Ugiriki na Bulgaria kwa upande mwengine zimepakana na Ulaya.