Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

Uturuki ipo Ulaya...usibishe bila kufanya tafiti...Urusi na Uturuki zote zipo Ulaya na Asia Kwa pamoja.... geographically....
Nyani haoni..?
Umeweka russia tena.Mfyuuuuuum.Uturuki ipo Asia huko.
 
Tuache kujipendekeza sasa kila mtu aishabikie nchi yake
Upumbavu ni mawazo ya kuuchukia uislam na uarabu ila kiuhalisia hizo nchi zipo Africa wa kumlaumu ni huyo mkristo aliegawa mipaka kufanya hizo nchi ziwe Africa Mungu kaumba dunia moja Bila pasport wala mipaka kaumba rangi na kabila ili tujuane tu Hawa ni nani kikubwa kumcha Mungu tu huu upuuzi wa ubaguzi Allah hapendi na ndicho kitakachowachoma wengi Motoni eti mtu analeta maneno ya mtu anafanya ndo ya watu wote hata huko arabuni pia Kuna wajinga kama huku kwetu kwa weusi.
 
Utabili ulimshinda Yahya Hussein huo, sasa yuko kabulini.
Sasa wewe endelea kutabili, lakini hiyo haitafanya Morocco wasichukue kombe.

Sisi wamorocco wa geza ulole tunasema nginja nginja mbapa baharini, yani kombe mwaka huu ni lakwetu.
Inarusiwa kuota, ila si kuamini kila unachoota.
 
Nyinyi miafrika myeusi mpira hamjui, kazi yenu ni uchawa na uchura tu.
Kwahiyo sisi waarabu hatuwezi kuwapambanieni nyinyi ngozi ya goti, hilo mukae mkijua.

Kwani si mulikua na vitimu vyenu kwenye michuano hii?
Kwataarifa yenu sisi tunachukua ubingwa, na hatutaki mutushabikie.
KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
"Kobe nyie"
Ufukara ni kitu kibaya sana, hiki ulichoandika hapa kina aksi kiwango cha ufukara ulichonacho, bila kusahau uchawa.

Wewe ni ngozi gani? Huoni kuwa ni UCHAWA kujipendekeza kwa watu wasio wa ngozi yako?

CHAWA ni wewe mwenyewe.
 
Umeweka russia tena.Mfyuuuuuum.Uturuki ipo Asia huko.
Kwa kuwa wewe ni mjinga bado una nafasi ya kuelewa unachoelekezwa, ubishi utafanya tukuweke kwenye kundi la wapumbavu ambao hawaelekezeki.

ELEWA.
 
Ufukara ni kitu kibaya sana, hiki ulichoandika hapa kina aksi kiwango cha ufukara ulichonacho, bila kusahau uchawa.

Wewe ni ngozi gani? Huoni kuwa ni UCHAWA kujipendekeza kwa watu wasio wa ngozi yako?

CHAWA ni wewe mwenyewe.
Povu la nini we chura?
Me sio fukara kobe we!!!
Kuna siku nishakuomba pesa ya kula?
 
Back
Top Bottom