Hataki hata kuelewa....yeye anaamini waturuki waarabu ...Uturuki kama Urusi ipo kote kote Ulaya na Asia.
View attachment 2439900
Ukiangalia hapo Georgia, Armenia, Azerbaijan zote zipo Ulaya na zinapakana na Iran ila zipo mbali na Ulaya kuliko Uturuki.
Pia Ugiriki na Bulgaria kwa upande mwengine zimepakana na Ulaya.
Umeweka russia tena.Mfyuuuuuum.Uturuki ipo Asia huko.Uturuki ipo Ulaya...usibishe bila kufanya tafiti...Urusi na Uturuki zote zipo Ulaya na Asia Kwa pamoja.... geographically....
Nyani haoni..?
Upumbavu ni mawazo ya kuuchukia uislam na uarabu ila kiuhalisia hizo nchi zipo Africa wa kumlaumu ni huyo mkristo aliegawa mipaka kufanya hizo nchi ziwe Africa Mungu kaumba dunia moja Bila pasport wala mipaka kaumba rangi na kabila ili tujuane tu Hawa ni nani kikubwa kumcha Mungu tu huu upuuzi wa ubaguzi Allah hapendi na ndicho kitakachowachoma wengi Motoni eti mtu analeta maneno ya mtu anafanya ndo ya watu wote hata huko arabuni pia Kuna wajinga kama huku kwetu kwa weusi.Tuache kujipendekeza sasa kila mtu aishabikie nchi yake
Inarusiwa kuota, ila si kuamini kila unachoota.Utabili ulimshinda Yahya Hussein huo, sasa yuko kabulini.
Sasa wewe endelea kutabili, lakini hiyo haitafanya Morocco wasichukue kombe.
Sisi wamorocco wa geza ulole tunasema nginja nginja mbapa baharini, yani kombe mwaka huu ni lakwetu.
Ufukara ni kitu kibaya sana, hiki ulichoandika hapa kina aksi kiwango cha ufukara ulichonacho, bila kusahau uchawa.Nyinyi miafrika myeusi mpira hamjui, kazi yenu ni uchawa na uchura tu.
Kwahiyo sisi waarabu hatuwezi kuwapambanieni nyinyi ngozi ya goti, hilo mukae mkijua.
Kwani si mulikua na vitimu vyenu kwenye michuano hii?
Kwataarifa yenu sisi tunachukua ubingwa, na hatutaki mutushabikie.
KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
"Kobe nyie"
Kwa kuwa wewe ni mjinga bado una nafasi ya kuelewa unachoelekezwa, ubishi utafanya tukuweke kwenye kundi la wapumbavu ambao hawaelekezeki.Umeweka russia tena.Mfyuuuuuum.Uturuki ipo Asia huko.
Mfyuuuuuuum,wewe wasema.Kwa kuwa wewe ni mjinga bado una nafasi ya kuelewa unachoelekezwa, ubishi utafanya tukuweke kwenye kundi la wapumbavu ambao hawaelekezeki.
ELEWA.
Povu la nini we chura?Ufukara ni kitu kibaya sana, hiki ulichoandika hapa kina aksi kiwango cha ufukara ulichonacho, bila kusahau uchawa.
Wewe ni ngozi gani? Huoni kuwa ni UCHAWA kujipendekeza kwa watu wasio wa ngozi yako?
CHAWA ni wewe mwenyewe.
Aliweka sawa. Watu inabidi waelewe kwamba kuna kusahau
Kwa sababu zipi?Haww mbwa wa kiarabu hawana maana