Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

Kwa kweli nimenufaika kwa kiasi kikubwa sana> Ni bora kununua hisa kuliko kucheza kibati:eyebrows:
 
Sure mkuu Co. Ikipata hasara na wewe unapata hasara, shareholders ikitokea Co. Imefilisika wao hua wa mwisho kulipwa kwenye kile kinachobakia baada ya wengine kua wamelipwa!! Jinsi ya kujua faida kuna namna mbili kupitia dividend/gawiwo na capital gain sijui kiswahili tunaiitaje! Faida kupitia gawiwo unalipata pale kwa mfano unamiliki hisa 5000 then Co. Ikatangaza kwenye kila hisa 1 utapata gawiwo la sh.100 then hapo utapata faida ya(5000×100)= sh.500,000# mkuu na Capital gain ni pale kwa mfano ulinunua kila hisa 1 kwa sh.500 na unahisa 5000 then ulitumia(500×5000)= sh.2,500,000 kama mtaji wako so ikitokea leo ukauza hisa zako na kila hisa ukauza kwa sh.1000 manake itakua ni 1000×5000(idadI ya hisa unazomiliki)=5,000,000 then faida yako hapo ni ile pesa uliyopata kipind umeuza hisa zako 5,000,000 kutoa pesa ulizonunulia hisa zako 2,500,000=2,500 000 pole kwa maelezo marefu mkuu wangu!!

Good thread mkuu, ongezea kwa ku tofautisha between Preference and Ordinary shares na haki zao kama wanahisa and ways of managing risk. Nitarudi kuongezea nyama. #BarikiwaSanaa .
 
Mkuu, je muda wowote napoamua kuuza hisa zangu wateja /broker ni uhakika atanunua? Au lazma broker atafute wateja kwnz

Inategemea na aina ya hisa ulizonazo na kiasi zinavyovutia wateja kwa wakati huo pamoja na bei unayotaka kuziuzia mkuu.

Mfano kutokana na sintofahamu iliyoikuta kampuni ya Precision Air hivi karibuni, watu wengi kwa sasa hawavutiwi sana na kununua hisa zake kwa hivyo ikiwa unataka kuuza itachukua muda pia kupata mnunuzi sokoni. Ila uwezekano wa kuuza utazidi kuwa mkubwa ikiwa utaziuza hisa zako kwa bei ya chini.

Kwa wastani hisa huwa zimeuzwa ndani ya siku 5 mpaka mwezi mmoja tangu uzifikishe kwa broker. Huu muda utazidi kupungua kadiri kunavyokuwa na players(wanunuzi na wauzaji) wengi zaidi sokoni.
 
Hii ina maana kuwa ni vyema kuwekeza katika hisa kuliko kuweka pesa zako benki kama akiba?
 
Mpaka sasa hivi hisa za mabenki hazijanivutia ukuaji wa thamani ya hisa sio mzuiri , faida utakayoweza kupata ni kununua hisa nyingi kwa bei ndogo , ila risk ni isije kuwa kama mambo ya kampuni ya Swala
 
inakuwaje kampuni au shirika ulilonunua hisa zake bahati mbaya likafilisika....wanahisa mnarudishiwa kutokana na thamani ya hisa zenu au ndo maimivu ivo. Na mwenye kuelewa anipe ufafanuzi kuhusu ..Dhamana ya uwekezaji tz UTT
 
kama unataka nunua ni bora ukaanza fuatilia soko mapema na pia brokers wanaweza kukushauri kampuni ipi ni nzuri. Maana kuna makampuni miaka yote haina gawio wala bei ya hisa haipandi

Hawa brockers nitawapataje!?
 
sijajua kiwango cha chini angalau nunua hisa kuanzia 100 na kuendelea ili uje pata faida katika gawia na thamani ya hisa. Mara ya mwisho gawio lilikuwa karibu shilingi mia kwa kila hisa, sasa kama una hisa mia hapo gawio lako litaku 10,000. Nunua nyingi kadiri uwezavyo
umenunua hisa 800 kwa sh 2000 kwa hisa moja hiyo ni sawa sawa na 1,600,000/= baadae unakuja kupata gawio la sh 100 kwa kila hisa zako 800 ni sawa sawa na elfu 80, umewekeza milioni na laki sita, afu unapata elfu 80 kama gawio! daah hii mbona kama hasara kubwa sana?
 
kuna faida nyingi zaidi ya kupata gawio hilo na pia baada ya kupata gawio lako unaweza kuuza hisa zako hizo 800 na kurudisha fedha zako hapo utakuwa umefaidika kwa kupata gawio na pia kumbuka pia bei ya hisa huwa inapanda kila mara ingawa pia inaweza kushuka .

Kama bei ya hisa itapanda inamaana utakuwa umepata gawio na faida nyingine kwa kuongezeka kwa thamani ya hisa zako. Mara ya kwanza nanunua hisa bei ya hisa moja ilikuwa ni shilingi 600 ilikuwa 2009 na sasa hivi bei ya hisa moja ni shilingi 6100 na nimekuwa nikipokea gawio la shilingi 60 na sasa imepanda kufika 200 . sasa ikiwa ungetumia hiyo 1,600,000 mwaka huo 2009 kwa bei ya shilingi 600 ningepata hisa 2666 leo ningeamua kuziuza kwa bei ya 6100 ningepata zaidi ya 16,000,000 .

Hiyo ni hela ambayo niliiweka tu bila kuingia gharama nyingine zozote baada ya kununua hisa . Sidhani kama kuna bank inayoweza kukupa riba ya namna hiyo .

Lakini wapo wanaopata hasara au faida kidogo pia kikubwa ni kuwa makini kwenye uchaguzi wa kampuni ya kununua usinunue kwa kufuata mkumbo au ukubwa wa jina la kampuni
 
Naweza kupata wapi mwenendo wa soko kwa muda wa miezi sita nyuma?
 
Kampuni ni 'legal entity'. Inaweza kununua hisa kama yenyewe kama ambavyo inaweza kushitaki na kushitakiwa. Ushahidi wa uwepo wa kampuni ni 'certificate of incorporation'.

Taratibu zake kununua hisa hazitofautiani sana na mtu binafsi ila kampuni inafanya miamala yake kupitia wakurugenzi au wanasheria wake.
 
kuna faida nyingi zaidi ya kupata gawio hilo na pia baada ya kupata gawio lako unaweza kuuza hisa zako hizo 800 na kurudisha fedha zako hapo utakuwa umefaidika kwa kupata gawio na pia kumbuka pia bei ya hisa huwa inapanda kila mara ingawa pia inaweza kushuka . Kama bei ya hisa itapanda inamaana utakuwa umepata gawio na faida nyingine kwa kuongezeka kwa thamani ya hisa zako. Mara ya kwanza nanunua hisa bei ya hisa moja ilikuwa ni shilingi 600 ilikuwa 2009 na sasa hivi bei ya hisa moja ni shilingi 6100 na nimekuwa nikipokea gawio la shilingi 60 na sasa imepanda kufika 200 . sasa ikiwa ungetumia hiyo 1,600,000 mwaka huo 2009 kwa bei ya shilingi 600 ningepata hisa 2666 leo ningeamua kuziuza kwa bei ya 6100 ningepata zaidi ya 16,000,000 . Hiyo ni hela ambayo niliiweka tu bila kuingia gharama nyingine zozote baada ya kununua hisa . Sidhani kama kuna bank inayoweza kukupa riba ya namna hiyo . Lakini wapo wanaopata hasara au faida kidogo pia kikubwa ni kuwa makini kwenye uchaguzi wa kampuni ya kununua usinunue kwa kufuata mkumbo au ukubwa wa jina la kampuni

Uzuri wa hisa ni kwamba ile ni longeterm investments na mara nyingi bei inakuwa inapanda na mara chache sana hisa kushuka. Na hisa hazihitaji uwe na hela za mawazo
 
kuna faida nyingi zaidi ya kupata gawio hilo na pia baada ya kupata gawio lako unaweza kuuza hisa zako hizo 800 na kurudisha fedha zako hapo utakuwa umefaidika kwa kupata gawio na pia kumbuka pia bei ya hisa huwa inapanda kila mara ingawa pia inaweza kushuka . Kama bei ya hisa itapanda inamaana utakuwa umepata gawio na faida nyingine kwa kuongezeka kwa thamani ya hisa zako. Mara ya kwanza nanunua hisa bei ya hisa moja ilikuwa ni shilingi 600 ilikuwa 2009 na sasa hivi bei ya hisa moja ni shilingi 6100 na nimekuwa nikipokea gawio la shilingi 60 na sasa imepanda kufika 200 . sasa ikiwa ungetumia hiyo 1,600,000 mwaka huo 2009 kwa bei ya shilingi 600 ningepata hisa 2666 leo ningeamua kuziuza kwa bei ya 6100 ningepata zaidi ya 16,000,000 . Hiyo ni hela ambayo niliiweka tu bila kuingia gharama nyingine zozote baada ya kununua hisa . Sidhani kama kuna bank inayoweza kukupa riba ya namna hiyo . Lakini wapo wanaopata hasara au faida kidogo pia kikubwa ni kuwa makini kwenye uchaguzi wa kampuni ya kununua usinunue kwa kufuata mkumbo au ukubwa wa jina la kampuni

Mkuu [USER=60917]najua[/USER]..only mi naomba kufahamu je nimeamua kuinvest swissport now kwa kubuy share za 1million na price yake ni @6000 je ifikapo mwezi wa 12 ( after 6months) nikakuta imepanda mpaka labda @8000 je nna uwezo wa kupewa gawiwo langu, Benefits (8000-6000=2000) an my principal which i injected????
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kufaidi hizo hisa ununue za at least za 20m ndio utahisi kweli unakula dividends, mfano nilikua na hisa za 3m za nmb nikawa napata gawio la 100,000-150,000 kwa mwaka nikaona ni ujinga nikaziuzia mbali.:banghead:🙁😱
 
kutegemea faida kubwa kupitia gawio ni ngumu mpaka uwe na hisa nyingi, mara nyingi faida kubwa ni kwenye ongezeko la thamani ya hisa kampuni ya ACA bei ya hisa kwenye mwezi wa pili ilikuwa kwenye 5000 na sasa hivi mwezi wa tano bei ya hisa moja ni karibu ya shilingi 9000, sasa hapo unafaida ya shilingi 4000 kwa kila hisa
 
Back
Top Bottom