Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Ndachuwa, kwanza pole kwa hizo za TOL, ni kweli zilikuwa kimeo, ila mwaka huu gawio la kwanza litatoka!.
Pia nakiri gawio la hisa za CRDB ni dogo!, angalia hisa za TCC au TBL, watu wanavuna mahela!.
Ili uweze kufaidika na gawio la hisa, lazima hisa hizo ziwe nyingi!.
Wabongo na hisa safari bado ni ndefu!, mimi kuna wakati nilivuta vungu fulani la maana mahali fulani, nikaamua niweke kwenye FD nile gawio!, bongo shinda haziishi, within no time, nikapata shida inahitaji fedha, nikaitumia ile FD yangu kukopa beki ile ile, interest ya mkopo ni 20%pa, interest ya FD, ni 12.5% mwisho wa siku, nikajukuta nimefanya biashara kichaa!, unawekeza kupata 12.5%, unakopa kulipa 20%!.
Najipanga kuilist PPR, tutafute mtaji tukue!.
P.
Amesema jinsi ya kampuni kujiunga na soko hilo la EGM, wamelegeza masharti ya kujiunga, ambapo hapo zamani, ili kampuni isajiliwe, ilipaswa kwanza iwe imefanya biashara kwa zaidi ya miaka 5!, pili lazima kampuni ionyeshe kuwa imekuwa ikitengeneza faida.
Kujiunga na EGM hakuna sharti la muda, au kutengeneza faida, yaani kampuni unaweza kuianzisha leo, na leo leo ukaisajili soko la hisa la Dar es Salaam, na kuuza hisa, unapata mtaji, unafanya biashara!. Hivyo lile sharti la kuonyesha faida au la kuwa lazima kwanza uwe ulifanya biashara halipo!.
Yaani uinaanzisha biashara leo, unajisajili DSE leo, unauza shares leo, unapata mtaji leo, ndipo unaanza biashara kesho!.
Amesema jinsi ya kampuni kujiunga na soko hilo la EGM, wamelegeza masharti ya kujiunga, ambapo hapo zamani, ili kampuni isajiliwe, ilipaswa kwanza iwe imefanya biashara kwa zaidi ya miaka 5!, pili lazima kampuni ionyeshe kuwa imekuwa ikitengeneza faida.
Kujiunga na EGM hakuna sharti la muda, au kutengeneza faida, yaani kampuni unaweza kuianzisha leo, na leo leo ukaisajili soko la hisa la Dar es Salaam, na kuuza hisa, unapata mtaji, unafanya biashara!. Hivyo lile sharti la kuonyesha faida au la kuwa lazima kwanza uwe ulifanya biashara halipo!.
Yaani uinaanzisha biashara leo, unajisajili DSE leo, unauza shares leo, unapata mtaji leo, ndipo unaanza biashara kesho!.
Mkuu Mtanganyika, sasa hapa ndipo watu kama nyinyi wenye exposure mnatakiwa kuisaidia nchi, lazima nikiri, kwenye biashara za kimataifa au biashara za uchumi mkubwa, Watanzania bado tuko nyuma sana. Kuna maswali mengi najiuliza kuhusu hii due diligence, kama ilifanyika kweli, TOL na Niko watu wasingeingizwa chaka!. Niliwahi kuuliza kwenye soko kuu, kwa nini brokers ni sita tuu?, bado sijapata jibu hivyo Mr. DSE akiripoti, nitaliuliza hili.Pasco alichuzungumzia mkurugenzi wa DSE ni kitu ambacho kipo UK, baada ya wao kuona uhitajikaji wa mitaji kwa wajasilimali wadogo ambao hawawezi kukidhi mahitaji ya kujisajili katika soko la shea la London, basi walianzisha chombo kiitwacho Alternative Investment Market (maarufu kama London AIM) Lengo kubwa la AIM ilikuwa ni kupunguza vikwanzo ambavyo vipo kwenye London Stock Exchange. Lakini waliweka sheria ambayo ni lazima kuwe kuna chombo ambacho kinachukua dhamana ya kuchunguza (due diligence) hawa wajasilimali kabla hawaja ruhusiwa kujisajili na AIM, Hawa ndio huitwa nominated adviser (NOMAD. Hawa ni investment bank kama walivyo kina Marry Lynch, Goldman Sachs au JP Morgan.
Risk associated with this kind of Investment:
Lazima tukubali kwamba kuna risk kubwa sana kuwekeza kwa wafanya biashara ambao hawaja jiestablish. Na hapa lazima kuwepo na watu wenye ufahamu wa finance kwa hali ya juu.
Mkuu Mtanganyika, sasa hapa ndipo watu kama nyinyi wenye exposure mnatakiwa kuisaidia nchi, lazima nikiri, kwenye biashara za kimataifa au biashara za uchumi mkubwa, Watanzania bado tuko nyuma sana. Kuna maswali mengi najiuliza kuhusu hii due diligence, kama ilifanyika kweli, TOL na Niko watu wasingeingizwa chaka!. Niliwahi kuuliza kwenye soko kuu, kwa nini brokers ni sita tuu?, bado sijapata jibu hivyo Mr. DSE akiripoti, nitaliuliza hili.
CMSA waliotoa nafasi za nomads, the response was very poor kwa Watanzania, bado sijajua situation as is now, ila nafuatilia kwa karibu.
Please tusaidie if we can learn anything from AIM ili tuisaidie EGM yetu!.
Pasco.
nenda pale makutano ya morogoro road na bibi titi kunaghorofa nimelisahau jina ila linatazamana na dit kwa barabara ya bibi titi
habari zenu wakuu wa jukwaa hili?
samahani ninaomba kuelekezwa mahali lilipo soko la hisa Dar es Salaam (DSE)
NITASHUKURU KAMA OMBI LITAFANYIWA KAZI.