Rais Samia na Serikali yako Kamateni upesi Watu wote walipokuwa katika ile Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo uliivunja kwani ndiyo Wahusika wakuu wa Tukio hili la Kimkakati katika Kukukomoa na Kukutingisha.
Hata Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Manispaa ya Kinondoni ilivunja Bodi ya Soko la Tegeta ambapo Wiki chache tu baadae Kulizuka Moto mkubwa ambao uliunguza Fremu nyingi hapo Tegeta Sokoni.
Namalizia kwa Kusisitiza tena kwa Mamlaka husika kuwa wala msihangaike kutafuta Mchawi ( Mhusika ) wa Tukio hili ( hilo ) na GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nawaombeni Mamlaka ( Serikali ) Kamateni kwa Mahojiano ya 'Kimedani' wale Wote waliokuwa sehemu ya Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo Mheshimiwa Rais Samia aliuvunja miezi kadhaa alipotumbuliwa Soko hilo na Wafanyabiashara wa hapo.