Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hao fire hawalipwi mshahara na serikali au kazi zao wanafanya kwa hisani!?Miaka yote fire bongo yanakujaga bila maji.
Sijawai kusikia uzembe huu mahali popote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao fire hawalipwi mshahara na serikali au kazi zao wanafanya kwa hisani!?Miaka yote fire bongo yanakujaga bila maji.
Sijawai kusikia uzembe huu mahali popote.
Mzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelalaKuna jamaa nimeona akilia na kusema,ZIMAMOTO IMEKOSA MAJI,HII NI NCHI AU KITONGOJI?
Kariakoo ndo maisha ya Tz,sasa uchumi wenyewe sijui unasemaje?Mzee Baba hayupo wamebaki wazembe tu najua angekuwepo wangeamshana hata kama wamelala
Mkuu unaendaje kuzimamoto huna maji?Hao fire hawalipwi mshahara na serikali au kazi zao wanafanya kwa hisani!?
hahahaWaharingi ndio mnyama gani
Sehemu ya mguu wako kwenye ugimbiWaharingi ndio mnyama gani
Mkuu usishangae siku moja BOT ikawaka moto, na hakuna mtu anaweza kuufanya kitu huo moto, sometime hizi ajari za moto ni michongo imewekwa na baadhi ya viongozi serikalini.Kangi alitaka wanunue drones wakamuona hana maana.
Hawa makazi yao salama ni GuantanamoUAMSHO, wapo uraiani...