Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Rais Samia na Serikali yako Kamateni upesi Watu wote walipokuwa katika ile Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo uliivunja kwani ndiyo Wahusika wakuu wa Tukio hili la Kimkakati katika Kukukomoa na Kukutingisha.

Hata Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Manispaa ya Kinondoni ilivunja Bodi ya Soko la Tegeta ambapo Wiki chache tu baadae Kulizuka Moto mkubwa ambao uliunguza Fremu nyingi hapo Tegeta Sokoni.

Namalizia kwa Kusisitiza tena kwa Mamlaka husika kuwa wala msihangaike kutafuta Mchawi ( Mhusika ) wa Tukio hili ( hilo ) na GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nawaombeni Mamlaka ( Serikali ) Kamateni kwa Mahojiano ya 'Kimedani' wale Wote waliokuwa sehemu ya Bodi ya Soko la Kariakoo ambayo Mheshimiwa Rais Samia aliuvunja miezi kadhaa alipotumbuliwa Soko hilo na Wafanyabiashara wa hapo.
 
Hao fire hawalipwi mshahara na serikali au kazi zao wanafanya kwa hisani!?
Mkuu unaendaje kuzimamoto huna maji?
Mafala tu hao,Kuna kipindi pale Sea Cliff Village uliwaka moto balaa wameitwa wakaja mbio,Badae wanasema hawana maji.
Karibu Hotel zamani hizo walifanya hivyo hivyo.
Hongo tu wanataka hamna lolote.
 
Hawa jamaa wajisahau san, hawajui kama hivi ni vitengo nyeti? Wapo free sana mpaka wanajisahau.
 
Chadema badala ya kudai magari ya Kuzima Moto

Wanadai haki ya kufanya mikutano ya kisiasa.

Mimi naita mitukano ya kisiasa maana hata hivyo huwa hakuna Cha maana kinachozungumzwa huko zaidi sana ya matusi Kwa mamlaka.
 
Ni wakati sasa kufanya system overhaul. Inasikitisha sana aisee
 
Hivi wale wazee wa kila kitu ni freemasons wamepotelea wapi?

Anyways, poleni wahanga wote wa tukio.
 
Hivi wale wazee wa kila kitu ni freemasons wamepotelea wapi?

Anyways, poleni wahanga wote wa tukio.
 
Kangi alitaka wanunue drones wakamuona hana maana.
Mkuu usishangae siku moja BOT ikawaka moto, na hakuna mtu anaweza kuufanya kitu huo moto, sometime hizi ajari za moto ni michongo imewekwa na baadhi ya viongozi serikalini.
 
Back
Top Bottom