white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Wao wanadhania kariakoo sokoni ni vile vibanda vya nyanya na mchicha, hasa wanaouza pembejeo za kilimo ndio nawahurumia kwani daa, ndio wenye bidhaa za thamani sana, na ambavyo sisi watu weusi tunavyoona bima ni wizi , ni kilioKuhusu mitaji midogo fanya tafiti zaidi mkuu... Kuna mtu namjua ana duka la pembejeo na madawa ya mbalimbali ya mifugo na kilimo total asset ni almost 150mn+ na majuzi tu katoka kukopa benk ili kuongeza mtaji kiufupi kuna units ndani mule wana mali za thaman kubwa tu na wamepata hasara kubwa sana.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Sure mzee na nature ya bidhaa zao ni against fireWao wanadhania kariakoo sokoni ni vile vibanda vya nyanya na mchicha, hasa wanaouza pembejeo za kilimo ndio nawahurumia kwani daa, ndio wenye bidhaa za thamani sana, na ambavyo sisi watu weusi tunavyoona bima ni wizi , ni kilio
Inategemea na mzunguko wa hio biashara mkuu, ila kwa kkoo siwezi kuita 150M biashara kubwa, unless anaizungusha haraka sana kma mwezi ama miezi michache. Biashara kubwa 150m ni mauzo ya siku.Kuhusu mitaji midogo fanya tafiti zaidi mkuu... Kuna mtu namjua ana duka la pembejeo na madawa ya mbalimbali ya mifugo na kilimo total asset ni almost 150mn+ na majuzi tu katoka kukopa benk ili kuongeza mtaji kiufupi kuna units ndani mule wana mali za thaman kubwa tu na wamepata hasara kubwa sana.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mmh nilipata hasara ya mil 3,kichwa kiliwaka moto hao jamaa zangu mil 150.unaweza ukazirai wiki.Kuhusu mitaji midogo fanya tafiti zaidi mkuu... Kuna mtu namjua ana duka la pembejeo na madawa ya mbalimbali ya mifugo na kilimo total asset ni almost 150mn+ na majuzi tu katoka kukopa benk ili kuongeza mtaji kiufupi kuna units ndani mule wana mali za thaman kubwa tu na wamepata hasara kubwa sana.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Labda reference kwa wahindi wengi wenye electronics warehouses etc mkuu... But kwasisi wa sme's bado ni kubwa sana.Inategemea na mzunguko wa hio biashara mkuu, ila kwa kkoo siwezi kuita 150M biashara kubwa, unless anaizungusha haraka sana kma mwezi ama miezi michache. Biashara kubwa 150m ni mauzo ya siku.
Na most of times hukai na mzigo mkubwa hivyo dukani, kunakuwa na store ama Godown ambayo unahifadhi mzigo.
Lazima kichwa kikuume na linapokuja suala la bima ndio maumivu mengine na sidhani kama serikali yaweza fidia chochote.Mmh nilipata hasara ya mil 3,kichwa kiliwaka moto hao jamaa zangu mil 150.unaweza ukazirai.hatari sana hii!....
Haya mambo mkuu, yasikie tu kwa mwenzako!!n sisi bima huwa tunaona ni wiziMmh nilipata hasara ya mil 3,kichwa kiliwaka moto hao jamaa zangu mil 150.unaweza ukazirai.hatari sana hii!....
Mkuu nafahamu ni kubwa hio kwa vipato vyetu, hata mimi inaniuma sana, Nina Marafiki zangu wengi sana mule nawafahamu na hali zetu hizi. Asilimia kubwa mule ndani hakuna Bima.Labda reference kwa wahindi wengi wenye electronics warehouses etc mkuu... But kwasisi wa sme's bado ni kubwa sana.
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hatari sana muhimuHaya mambo mkuu, yasikie tu kwa mwenzako!!n sisi bima huwa tunaona ni wizi
Bima ndio msiba mkubwa mkuu... Basi tu ishatokea ila maumivu ni makubwaMkuu nafahamu ni kubwa hio kwa vipato vyetu, hata mimi inaniuma sana, Nina Marafiki zangu wengi sana mule nawafahamu na hali zetu hizi. Asilimia kubwa mule ndani hakuna Bima.
Umesahau mchicha pale kabla ya kuvuka reliInasikitisha sana...
Yani hata Fire za Airport, Fire za Azam, Fire za GSM, fire Za Oil com, fire za Bandarini ina maana zimeshindwa kuja kulikoa soko...
Niliwahi kufanya kazi bandari ya Mtwara wakati huo iko oparated na wazungu wa mafuta na gesi. Asee wenzetu wako mbali sana, kabla ya shughuli zozote kuanza walijenga tanki la maji la lita si chini ya 500k kwa ajili ya moto tu. Na hizo hydrant kila kona. Kwa kifupi pale pakitokea moto unazimwa muda mfupi sana. Wenzetu wanajali sana suala na dharula.Bila fire hydrants eneo la tukio fire wanakuwa watazamaji tu. Inasikitisha soko kuu hamna fire hydrant.
View attachment 1849376View attachment 1849388
Inasikitisha sana...
Kama hauna elimu juu ya mfumo wa uzimaji moto wa hayo magari mtakuwa kila siku mnawalaumu , eti wanakuja bila maji!!kisa wakiza kidogo tu maji yamekwisha!!hivi unajua ile pressure ya maji inayotoka pale?lile tanker la lita 50, 000 dakika 10 hazifika kama wakifungua valve mbili!!!la muhimu ni serikali kuweka mfumo wa maji pembezoni mwa mitaa special kwa magari ya fire tu, kwenda kuchota maji karibu!!kama huko nchi za mbele wanavyofanya.sasa mkiona dk 3, maji yamekwisha unaona linaenda kuchukua maji unasema halikuwa na maji au maji yalikuwa madogo!!Siku zote moto ukiwaka fire huwa wanashindwa wanafika tu wanasema hawana maji, hakuna cha mwenda zake wala nini, fuatilia moto ambao fire walizima wakafanikiwa bila wananchi kujitolea adi kuchota maji wenyewe fire adi wanataka kupigwa na wananchi
Ni kweli kwamba izo moto zimekuwa zikitokea, zinazimwa na maji tu ama zingine zinahitaji chemical/carbon dioxide sjui dry powder na aina zingine za kuzimia moto ni serikali haijawai kuweka iyo miundombinu vizuri? Na fire nafasi ni ipi kwa wananchi sasa kama hawatoi mapendekezo ya marekebisho ktk iyo idara miaka nenda rudi hawafanikiwiKama hauna elimu juu ya mfumo wa uzimaji moto wa hayo magari mtakuwa kila siku mnawalaumu , eti wanakuja bila maji!!kisa wakiza kidogo tu maji yamekwisha!!hivi unajua ile pressure ya maji inayotoka pale?lile tanker la lita 50, 000 dakika 10 hazifika kama wakifungua valve mbili!!!la muhimu ni serikali kuweka mfumo wa maji pembezoni mwa mitaa special kwa magari ya fire tu, kwenda kuchota maji karibu!!kama huko nchi za mbele wanavyofanya.sasa mkiona dk 3, maji yamekwisha unaona linaenda kuchukua maji unasema halikuwa na maji au maji yalikuwa madogo!!
Hydrants mijini kawaida zinaungwa kwenye mfumo wa kusambaza maji /main pipesKama hauna elimu juu ya mfumo wa uzimaji moto wa hayo magari mtakuwa kila siku mnawalaumu , eti wanakuja bila maji!!kisa wakiza kidogo tu maji yamekwisha!!hivi unajua ile pressure ya maji inayotoka pale?lile tanker la lita 50, 000 dakika 10 hazifika kama wakifungua valve mbili!!!la muhimu ni serikali kuweka mfumo wa maji pembezoni mwa mitaa special kwa magari ya fire tu, kwenda kuchota maji karibu!!kama huko nchi za mbele wanavyofanya.sasa mkiona dk 3, maji yamekwisha unaona linaenda kuchukua maji unasema halikuwa na maji au maji yalikuwa madogo!!
Tatizo ni serikali kutokuwa makini kinachotakiwa ni kuwa na fire hydrant maeneo yote ya mji, hiyo ni idara iliyo chini ya wizara ya mambo ya ndani, ukiulizia utaambiwa bajeti haitoshi lakini pesa za kufanyia mambo yasiyo na maana zipo!!mfano hili la jana kamishina wa jeshi la zima moto amesema changamoto ya jana ni kuwa kariakoo yote hakuna sehemu ya kuchukulia maji , iliwabidi wawe wanayafuata uwanja wa ndege!!jamani huo si utani kweli?siku zote nasema hapa tunaishi kwa kudra za mnyezi Mungu tu, lakini hakuna kitu, kila tukio la maafa likitokea lazima mapungufu yawepo tu na likipita nao wanafunika!!!Ni kweli kwamba izo moto zimekuwa zikitokea, zinazimwa na maji tu ama zingine zinahitaji chemical/carbon dioxide sjui dry powder na aina zingine za kuzimia moto ni serikali haijawai kuweka iyo miundombinu vizuri? Na fire nafasi ni ipi kwa wananchi sasa kama hawatoi mapendekezo ya marekebisho ktk iyo idara miaka nenda rudi hawafanikiwi