peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa kipindi Cha miezi mitatu tu, tumerudi awamu ya nne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kusaka pesa, ni mwendo wa kukomoakweli naona hapa ni mwendo wa kusaka pesa kwa nguvu zote
Mkuu si unawajua hao? Wana vifaa chakavu na mara nyingi hawana hata tone la maji.
Hawana maji. Ningekuwa Rais wa nchi ningeanza kumtumbua Mkuu wa jeshi la zimamoto na viongozi wote wakubwa katika vituo vya zimamotoFire si wapo mita 1000 tu toka hapo au na leo hawana maji
Labda wanahusika kwenye hujumaHawana maji. Ningekuwa Rais wa nchi ningeanza kumtumbua Mkuu wa jeshi la zimamoto na viongozi wote wakubwa katika vituo vya zimamoto
Kwanini magari ya uokozi yakose maji??
Wao wanafanya nini? Au ndio kufanya kazi kwa mazoea
Hii nchi hii...HOVYO KWELI.
Tulipewa Semina Na Hao Hao Fire..Wanadai Huwa Wanakuja Kuangalia Sababu ya Moto ili Wajue Waje na Type Gani ya Fire Extiguisher..Cjui walitupiga FixMiaka yote fire bongo yanakujaga bila maji.
Sijawai kusikia uzembe huu mahali popote.
Limeungua moto soko kuuMlio karibu hapo mtujuze kinachoendelea...
Ukweli ndio huo, Muumba awape nguvukulala MO kuamka MUDI ndo haya sasaaa... ishakuwa noma pole sana kwa wale waliokopaa mabank Mungu awatie nguvu maana umaskini sio kitu chema.
Kujua class ya moto ni muhimu, inaonesha hawa wanategemea sana maji nakati maji yanazima aina moja tu ya moto,Tulipewa Semina Na Hao Hao Fire..Wanadai Huwa Wanakuja Kuangalia Sababu ya Moto ili Wajue Waje na Type Gani ya Fire Extiguisher..Cjui walitupiga Fix
Moderator wanachakujifunza badala y kufuta wawe wanaficha nyuzi au kufanya namna yoyote kopi ibakiMi binafsi kuna mdau alileta uzi umu nafikiri ni majuzi kwamba moto unawaka kariakoo kitu ambacho akikua kweli,baada ya muda ule uzi ukafutwa
Swali ni sisi kujiuliza yule mtoa uzi alikua na lengo lipi au aliwasha moto ikashindika iyo juzi? Leo hii ndio umefanikiwa ? Au unabii wa jf najiuliza apa sipati jibu?
Mwanzo wa habari (heading) inasemaji?Kariakoo kubwa mkuu, sema eneo lipi la Kariakoo, sokoni au mtaa anakopatia mkate wa kila siku Haji Manara au wapi?