Soko la Karume limeungua moto

Inasikitisha sana kuna watu wametoka kkoo wajishikize hapo na hapo kumeungua tena afu ukute alikopa so sad[emoji174][emoji174][emoji174]
 
We Jamaa unakeraa!
Issue inayoongelewa hapa ni moto,wewe unaibuka na Magufuli kwani Yeye ndo kautuma huo moto??
Hivi ni Lini atatoka midomoni kwenu?? Hakuna Mwanadamu alie perfect,hata wewe una mabaya YAKO mengi sana!! Kama alikuumiza,mfate huko huko kaburini ukamueleze!!! Mwanaume rijali alie timamu na Akili zake hana malalamishi ya kulia lia na mambo yaliyopita.
Niangalie😏
 
Wewe inaonekana mpenda kulalamika sana hata ukivimbiwa zako utamlaumu Jpm
 
Watu wengi Tanzania huwa wanajiandikia tu namba lkn hawajui maana yake in real life, unaelewa maana 400 Million USD ? Unaelewa kwanza hata 100 000 USD inamaanisha nini ?
Asante Mkuu, mwenyewe nilishtuka mno maana hiyo figure aliyotaja inachezea kwenye Trillion Tshs.
 
Vitendo kama vipi?

Ukiandamana utadumbukizwa kwenye tank la maji washawasha

Kuchoma moto ofisi za umma?

Kuingia msituni?

Kupiga mawe msafara wa viongozi?

Kufanya vitendo vya kigaidi?
Vyote kwa pamoja. Wewe unadhani tukiamua kwa pamoja polisi wataweza? Nchi bado wananchi tukiamua jambo tunaweza. Sema ndio hivyo... hao wenye mamlaka hata laki moja hawafiki...wananchi tupo zaidi ya milioni 50.
Kwanini hawa viongozi wanatupeleka peleka hovyo?
 
Mbona hata la Kariakoo liliungua? Sema Makala ana mkosi na kuungua kwa Masoko kila anapopelekwa
 

[emoji19]
 
Ka-Gugu
 
Mkuu hizo hela ni nyingi mno.
Inasikitisha Sana mkuu hela zote hizo wachache kuiba. Ndio maana miradi ya matrillion ya miradi waliyoanzisha imesuasua hata robo haijafika kwasabab ya ukwapuaji wa hatarii ya aina yake kuwahi kutokea.

Afadhali wangejenga barabara ya lane nane nne nne kila upande kutoka Sanya juu hadi Longido na kujenga satellite City Longido na sanya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…