Soko la Karume limeungua moto

Hela yake halaf unamwambia ni kiazi? [emoji848]. Heee
Kuna siku kamnunulia mwanae kiatu 80k...mtoto wa miaka mi3..hahahhaha
Nkamwambia sista ukiwa unaenda kwenye ma shop.usiniite unantia uchungu..akabak anacheka tu..anasema yeye kkoo panamchanganya na anaona vtu vyote vya kichina.hahaha
 
Kuna siku kamnunulia mwanae kiatu 80k...mtoto wa miaka mi3..hahahhaha
Nkamwambia sista ukiwa unaenda kwenye ma shop.usiniite unantia uchungu..akabak anacheka tu..anasema yeye kkoo panamchanganya na anaona vtu vyote vya kichina.hahaha
Mambo ya fweza hayo 💵
 
Bujibuji umeona MBALI.
Hawa wakubwa wanaohamasishana mbuzi kula kwa urefu wa kamba,hata Mimi siwaamini!
hakuna kitu kama iki, watawala wa Tanzania hawahitaji kuchoma masoko etc ilikuchota fedha wanayoitaka.

nini hasa kiwasukume kufanya hivyo ilhali wanaweza fanya zaidi ya ilo na hakuna wa kuguna?.

Kwa ili serikali haihuski hata kidogo.
 
Ndio fire waambiwe wasiingilie moto usiwahusu?
 
Ww ndio umepotea KABISA na hamjitambui.. mnamsifia tu JPM kila siku.. si mkamfufue sasa?? Mtu aliharibu sana hii nchi na inaendelea kuharibika sababu yake..
Sasa mliopo si muitengeneze mzee yani Leo mfano unaweza mlaumu nyerere kweli? [emoji23][emoji23] Tulio hai turekebishe basi tuone

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
MTANIKUMBUKA baba mmoja alisikika akiwaambia watu wake.
 
hauachi kumwingiza magufuli kwa kila baya ulionalo unakazi sana wewe mwanamke maana ungelikuwa mwanaume ungekuwa ulishaacha kipindi amefalikitu huyo magufuli.
 
Sasa kama ni jukumu la kila mmoja mbona inaonekana hao wamachinga ndio wanaopaswa kuandama kuliko wengine?
Ndiko kwenye vijana wahanga wengi wa utawala wa ccm,au ulitaka wakuu wa wilaya na wakurugenzi na mapolisi nao waandamane?
 
Huu ni umbea tu na ufitini.
Nani aliwaambia hivi?
Watanzania tuache roho za kichawi.
Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuhisi hisi tu.Lazima tutafute chanzo halisi.
Ndio fire waambiwe wasiingilie moto usiwahusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…