Soko la Karume limeungua moto

Hata wewe unaweza mchagua mtu na akakusaliti think wisely.
 
Sina la kuongeza umenyoosha kama rula
 
Huu Moto umesetiwa Kia's kwamba Ni ngumu kuuzima

Mazingira ya karume Ni rahisi Sana kuzima Moto tofaut na k'koo au pengine.

Bila shaka
Ilishamwagwa petroli kuzunguka soko lote,Moto unazunguka afu unakutana katikati.

Hapo huokoi chochote
Hao wanaotumwa kuchoma moto huwa hawana ndugu sehemu kama hizo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nahisi haya masoko yanachomwa makusudi ili kuyajenga ya kusasa.. Embu fikiria masoko haya.. Soko kuu Songea, Soko la Mwanjelwa Mbeya, soko la Moshi, Soko la Mwanza... etc
 
Watu mnapenda kukurupuka! Wapi nimeandika masikini alikuwa na Raha au karaha? Hujui kusoma? Nimeandika nilichoandika kutokuelewa kwako hainihusu.
"Zama hizi ni kuwakomesha msikini" zama zipi ziliwapenda masikini?
 
Mwenye Cv ya elimu ya Amosi anitumie inbox
 
Muda mwingine sio serikali. Eneo hilo linamateja wengi sana na vijana wanaotumia madawa. Unaweza kukuta wamegombana na mtu sokoni wakasema unajifanya mjanja unaringia vihela vya sokoni humo, subiri niwashe moto uone utajidaia wapi. Sio kila jambo tuingize siasa.
 
Kumbe ccm huwa inashinda kwa sanduka la kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…