mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Lugha nzuri hawakuruhusiwa mpaka malengo ya wachomaji yatimie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha nzuri hawakuruhusiwa mpaka malengo ya wachomaji yatimie
Hii serikali ni ya kikatili sanaLugha nzuri hawakuruhusiwa mpaka malengo ya wachomaji yatimie
Tatizo hapo ni kudhani kwamba wao hawana la maana la kufanya ndio maana unaona kuwa wao walipaswa kuingia barabarani kuandamana tofauti wengine ambao wapo maofisini tena ya serikali hiyo hiyo.Lakini ndo wakome maana yaliitishwa maandamo wakajifanya wako bize na mambo yao na vitambulisho feki,haya sasa wakale walipopeleka mboga...
Watz hawasikii mpaka wapigwe nyundo km hizi
Jiongeze wewe mpuuziMuda mwingine sio serikali. Eneo hilo linamateja wengi sana na vijana wanaotumia madawa. Unaweza kukuta wamegombana na mtu sokoni wakasema unajifanya mjanja unaringia vihela vya sokoni humo, subiri niwashe moto uone utajidaia wapi. Sio kila jambo tuingize siasa.
Serena hotel ama Ramada hotelHuyu mtu yupo kumbe nchi hii
Alaf chek nauliza kama sehemu anazoendaga na mm naweza fika tukawa tunaonana [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Soma upya.Nimeandika "kuruhusu CCM kushika dola" na wala siyo CCM kushinda chaguzi kama unavyodai.Kumbe ccm huwa inashinda kwa sanduka la kura?
Naomba nikuulize CCM imevunja katiba kuwabakiza wabunge walifukuzwa CHADEMA. Mbona hamna hatua yoyote iliyochukuliwa? Mimi nimekuwa nikidai katiba mpya muda mrefu lakini nimegundua kuna tatizo kubwa sana kwetu, tunaogopa kudai haki zetu. Katiba ni maandishi tu, ni jukumu letu kuhakikisha inatekelezwa. Tunataka maandishi lakini tunaogopa kutekeleza.
Kutupia kila lawama kuwa ni kwa sababu ya ccm kuwa madarakani sidhani kama ni sahihi kwa sababu kwa sababu hata kikija chama kingine kutawala haina maana hakitafanya makosa, kwa hivyo kama yanatokea makosa na hatuna cha kufanya zaidi ya kufikiria kukiondoa chama tawala madarakani basi hilo ni tatizo kubwa maana hakutakuja kutokea chama ambacho kitakuwa ni kikamilifu.Umeongea kinyume.Watu ndiyo hawana huruma na maisha yao kwa kuruhusu kutawaliwa na mbwa-CCM.
Pengine imani yake inamtuma kufanya hayo.Amos Makala kila mkoa anaoshika lazima masoko yaungue,ana nyota ta moto
CCM wanapaswa kulaumiwa kwa kuwa ndiyo wanachoma haya masoko na kuhamasisha ufisadi.Kutupia kila lawama kuwa ni kwa sababu ya ccm kuwa madarakani sidhani kama ni sahihi kwa sababu kwa sababu hata kikija chama kingine kutawala haina maana hakitafanya makosa, kwa hivyo kama yanatokea makosa na hatuna cha kufanya zaidi ya kufikiria kukiondoa chama tawala madarakani basi hilo ni tatizo kubwa maana hakutakuja kutokea chama ambacho kitakuwa ni kikamilifu.
Sasa utasemaje wao ndio wameruhusu ikiwa wao wanapiga kura ili kuwaondoa ccm ila ccm inatumia mabavu ya jeshi kuendelea kukaa?Soma upya.Nimeandika "kuruhusu CCM kushika dola" na wala siyo CCM kushinda chaguzi kama unavyodai.
Apa kwa Mungu kuwa ulikuwepo na ulisikia wakati wanakatazwa.Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu?
Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.
Ipo siku hawa mnaowaonea itafika siku watachoka.
View attachment 2083158
Ripoti ya Kariakoo ikoje kwanza??Kariakoo, Mwenge, Karume. Haya bana tusubiri ripoti kutoka tume ya uchunguzi halafu maisha mengine yaendelee.
Wewe kwa akili yako unafikiri mtu alieajiriwa serikali ofisini ataandamana!?Tatizo hapo ni kudhani kwamba wao hawana la maana la kufanya ndio maana unaona kuwa wao walipaswa kuingia barabarani kuandamana tofauti wengine ambao wapo maofisini tena ya serikali hiyo hiyo.