Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Umejuaje haihusiki?Serikali haihusiki hapa na tuwe na subra uchunguzi upite na ripoti itolewe. Pole sana kwa wahusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje haihusiki?Serikali haihusiki hapa na tuwe na subra uchunguzi upite na ripoti itolewe. Pole sana kwa wahusika
Yani vitu vya watoto viatu na mabegi ndio basi tenaHatari sana mabegi tutanunua wapi
Mkuu hii ni awamu ya wanyonge kutubu😂 zamu ya matajiri na mafisadi kuwahenyesha maskini!Miaka na miaka hayo masoko yapo hapo hayajawahi kuungua, yanakuja kuungua leo na mudus operand yao ni ile ile, kuunguza usiku watu wakiwa hawapo ili wakiamka asubuhi wakute kila kitu kimeteketea.
Watu hawana uchungu wala hata moyo wa kujali kwamba wafanyabiashara wa pale mitaji yao ni midogo sana, bado unawachomea vitu vyao vyote. Waende kula wapi?
Na hamna kitu watafanya😅ukienda polisi utalundikwa wewe ndani!Na wanakomeshwa kweli.
Kanunueni Mlimani cityYani vitu vya watoto viatu na mabegi ndio basi tena
Ataiba kura. Tuombe jeshi limtoeMkuu hii ni awamu ya wanyonge kutubu😂 zamu ya matajiri na mafisadi kuwahenyesha maskini!
Sasa mtachagua kama muendelee nae au mchague mwengine ~ Job Ndugai
😅😅😅 Tukajipimie au sio!!!Kanunueni Mlimani city
Muombe jeshi au Muungane na Jeshi 😅 hebu kuwa serious na maishaAtaiba kura. Tuombe jeshi limtoe
Inaumiza sana ila kama kuna mtu anahusika na hili Mungu ampe mwisho mbaya afee kifoo kibaya maana hajui watu wanaumiza sana vichwa kukuza vimtaji vyao na kama nitasikia serikali inataka kumpa mwekezaji ndo tutajua kumbe ni moto wa mchongo
Sasa kama ni jukumu la kila mmoja mbona inaonekana hao wamachinga ndio wanaopaswa kuandama kuliko wengine?Wewe kwa akili yako unafikiri mtu alieajiriwa serikali ofisini ataandamana!?
Ata ivyo kuandamana ni kujitolea muda na wala sio kukosa shughuli ya kufanya,ni jukumu la kila mmoja kwa ukombozi kamili vinginevyo kila siku majanga ya kila aina yanaongezeka
Ni maandishi tu ila hayapatikani bila kula kipigo cha polis ccm😅😅😅 lazma mpambane na kipigo mpaka umoja wa mataifa uingilie kati ndio mpewe hio katiba😅!Naomba nikuulize CCM imevunja katiba kuwabakiza wabunge walifukuzwa CHADEMA. Mbona hamna hatua yoyote iliyochukuliwa? Mimi nimekuwa nikidai katiba mpya muda mrefu lakini nimegundua kuna tatizo kubwa sana kwetu, tunaogopa kudai haki zetu. Katiba ni maandishi tu, ni jukumu letu kuhakikisha inatekelezwa. Tunataka maandishi lakini tunaogopa kutekeleza.
Sisi wenye nchi tulishajikatia tamaa. Jeshi limtoe lichukue nchi. Afadhali kutawaliwa na wajeda ijulikane kuliko hawa matapeli.Muombe jeshi au Muungane na Jeshi 😅 hebu kuwa serious na maisha
Aliharubu nchi kimpango gani? Hebu acha ushamba bana wewe! Huyu mama alichofanya cha maana kipi mpaka sasa kama sio kuhenyesha maskini tu? Au sababu hamdu shaka ami yako kapewa uwenezi?Ww ndio umepotea KABISA na hamjitambui.. mnamsifia tu JPM kila siku.. si mkamfufue sasa?? Mtu aliharibu sana hii nchi na inaendelea kuharibika sababu yake..
Ni sh ngap boss hapo mlimani city?Kanunueni Mlimani city
Don't worry, you will soon understand.I don't understand
Safi sana mama anaupiga mwingi mno! Kazi iendelee tukitoka hapo tuhamie la Ilala Boma pale napo tuwaunguzie!Utawala dhalimu una halalisha uhalifu, dhuluma, wizi, rushwa na ufisadi
Tatizo unaongea hivyo halafu usikute upo nje ya nchi huko au yakipangwa hata maandamano tu wewe unaishia humu JF kuangalia itakuaje huingii road halafu unawaita wenzako huku wajinga.Wewe kinachokuburuza ni elimu huna juu ya masuala haya.Ukisoma political sayansi, laws za siasa zinasema kuwa hakuna jeshi wala kifaru wala mabomu ya nyuklia ambayo yanaweza kuishinda nguvu ya wananchi.
Na law hii inathibitishwa kwa kuangalia mapinduzi ambayo yaliletwa na wananchi kwa kupindua serikali za kidikteta ambazo zilikuwa katili sana kwa wananchi wao.
Tawala za zamani za nchi kama Urusi,Iran china na kadhalika zilikuwa na silaha na ukatili wa kila aina lakini wananchi walizipindua.
Kwenye dunia ya sasa unaweza kuangalia mifano kutoka kwenye nchi kama vile Misri,Tunisia na kadhalika.
Ukiona nchi fulani kama Tanzania wananchi wake wanagandamizwa na tawala katili jua ni uzembe wa hao wananchi wala siyo jeshi au slaha au polisi.
Hakuna nguvu ya watawala ambayo inaweza kuishinda nguvu ya uma na hili linathibitishwa kwa historia kuonyesha kuwa tawala zote katili duniani zilipinduliwa na wananchi.
Kitunda ndege zikiwa zinatua na watalii, Wamachinga wataonekana. Itafaa wamachinga wote nchini wahamishiwe Nkasi RukwaSafi sana mama anaupiga mwingi mno! Kazi iendelee tukitoka hapo tuhamie la Ilala Boma pale napo tuwaunguzie!
Wamachinga wanachafua sasa jiji watalii wanaona uchafu umezidi, waende kitunda huko au chamazi wakauze bidhaa zao!