Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

Laana zimuendee mtu yeyote aliyekusudia kufanya unyama huu

Binafsi nimesikitishwa na kuumia Kwa hichi kitendo ila SI walaani waliokusudia na kutekeleza huu uharibifu, Mungu awape kamisheni Yao stahiki Kwa kadri ya matendo yao.
 
Wafanyabiashara hasa wengi jambo la kukatia bima shughuli zao wanalionaga kama upuuzi fulani hapa UK bima hukatwa kwanza na ndiyo licence hutolewa.

N. B, BIMA ILIVYO YA LAZIMA KWENYE MAGARI NA KWENYE BIASHARA UWEPO ULAZIMA HUO.
Kwa wenye biashara kubwa sawa, biashara ya mtaji wa laki 1 hadi 1m ukate bima kweli?
 
Wanataka kujenga nn pale hadi walichome moto soko
 
1. Kko
2. Karume
3. Mwenge
4. Vetenari
5. Where next?
 
Wafanyabiashara hasa wengi jambo la kukatia bima shughuli zao wanalionaga kama upuuzi fulani hapa UK bima hukatwa kwanza na ndiyo licence hutolewa.

N. B, BIMA ILIVYO YA LAZIMA KWENYE MAGARI NA KWENYE BIASHARA UWEPO ULAZIMA HUO.

Machinga akakate bima ? Be realistic, man hiyo kodi yenyewe ya serikali kulipa ishu sijaongelea kama hata anaweza kulipia umeme!
 
Zimamoto wana vituko sana alaf pale na ofisi yao ni karibu sana.
Siku zingine wanasingizia barabara kwenda eneo la tukio haipitiki mara mitaa imebanana, sasa leo watakuja na lipi?
 
Zimamoto wana vituko sana alaf pale na ofisi yao ni karibu sana.
Siku zingine wanasingizia barabara kwenda eneo la tukio haipitiki mara mitaa imebanana, sasa leo watakuja na lipi?
Nimewapita wamepaki gari lao la zimamoto huku wameshika mikono viunoni wakishangaa pamoja na raia.
 
Marekani viwanda vingi vya vyakula vimeungua moto - Coincidence? Siku hizi wanasema "Think while it is still legal"
 
Hii staili ya kuwachomea watu biashara ili muwahamishe au kuwapanga upya ni ya kinyama mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…