Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Wakina nani hao wanaofanya huu uharifu?Duh hii hatari
wasiunguze soko la stereo nitaenda wapi mimi [emoji17] .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani hao wanaofanya huu uharifu?Duh hii hatari
wasiunguze soko la stereo nitaenda wapi mimi [emoji17] .
Hazijawahi kutoa MajibuRipoti za kamati zilizokuwa zinachunguza matukio ya awali ya kuungua Kwa masoko zilitoka?
Hivi kuna MCHONGO wowote kutokana na haya masoko kuungua??!!Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto.
Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea.
Zima moto na gari lao wapo ila naona wanakodoa macho tu.
====
View attachment 2244086
Soko la Vetenari lililopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam linawaka moto.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Zimamoto mkoa wa kizimamoto Temeke Mrakibu Msaidizi Michael Bachubira amesema Hadi sasa Jeshi linaendelea kuuzima moto huo na kudhibiti usisambae maeneo mengine na kwamba wanaendelea kuchunguza chanzo cha moto huo.
Hii ni mara ya nne kwa masoko jijini Dar kuungua kwa mwaka huu ambapo mwezi Februari soko la Mbagala likiungua, na Soko la Karume kuungua mara mbili, mwezi Januari na Aprili
Inasikitisha mnondio kituo kinachofuata. Hapa tunapanga tutumie njia gani nzuri.
Jo huu uchochezi, inamaana huyu wa sasa ndie anachoma masoko?Hatari
Yule bashite hakuwaga na haya mavitu
AmosAmos kazini
Au kumtwanga mtu, risasi 30, mchana kwepe,,Majasiri mno,
Kama una ujasiri wa kuiba kura waziwazi mchana kweupe unashindwaje kuchoma moto soko?
Suala la bima kwa Watanzania wengi bado sana inabidi juhudi za ziada za uhamisishaji na elimu ya bima itolewe kwa jamii labda kutakuwa na mwamko wa kukata bima za aina mbalimbaliWafanyabiashara hasa wengi jambo la kukatia bima shughuli zao wanalionaga kama upuuzi fulani hapa UK bima hukatwa kwanza na ndiyo licence hutolewa.
N. B, BIMA ILIVYO YA LAZIMA KWENYE MAGARI NA KWENYE BIASHARA UWEPO ULAZIMA HUO.
Bima ni muhimu kwa wafanya biashara
Mimi naendaga kununua vitu hapo tu
Anha sawaAhaa nikajua unabiashara hapo
Bado, nadhani wataongezea na hii kwa hiyo itazidi kuchelewa.Ripoti za kamati zilizokuwa zinachunguza matukio ya awali ya kuungua Kwa masoko zilitoka?
Huwa ninaamini tatizo la waafrica sio viongozi bali ni wananchi. Na hata hapa kwetu tatizo sio la viongozi bali ni sisi wananchi, mfano ona hii akili iliyotumika hapa kuandika commentTuache kuwatupia lawama wasiostahili. Masoko yetu kwanza ni machafuuuuuuu, vyupa vya mikojo, maji machafu kila kona, tope, pili tunaendesha shughuli mseto ambazo kwa kiasi kikubwa hazikupaswa kufanyika ndani ya eneo moja yaaaani wachomelea vyuma, mama ntilie na majiko yao ya mkaa, Wauza Gesi wako eneo moja na muuuza ndizi na matikiti maji anayeizia chini kwenye nyasi kavu. Just imagine nyasi na moto wa mkaa wa mama ntilie?
Fire ilipoyaka kuboreshwa inunuliwe mitambo ya uhakika na vitendeakazi vinginevyo KANGI LUGORA akaonekana hafai, Watanzania mkapiga kelele TUMBUAAAAAAAAAAAAA Mzee akafanya yake.
Sasa ngoja mtumbuliwe nyie na moto
Haya matukio yalihusishwa na mwanasiasa mmoja ni kama yana uweli vile ukitazama historia ya alikopitapitaKwa mujibu wa Kamanda wa Zimamoto mkoa wa kizimamoto Temeke Mrakibu Msaidizi Michael Bachubira amesema Hadi sasa Jeshi linaendelea kuuzima moto huo na kudhibiti usisambae maeneo mengine na kwamba wanaendelea kuchunguza chanzo cha moto huo.
Hata ukate bima hulipwi soko likiunguzwa, uchunguzi utasema Wenye bima ndo mmechoma.Ndio ukae chonjo nenda kakate bima aisee hii kitu imeshakuwa kwenye masoko yote yajiandae na haya majanga.