Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

Kuna mtu nilimsikia anasema kuwa haya Masoko - Watu wa mipango mji huwa wanayachoma wenyewe kisha wanakuja na kujenga soko jipya kwa mpangilio mzuri.

Wanasema wakiwaomba wafanyabiashara wahame kwa hiyari yao huwa wanagoma, ndio maana wanatumia njia hiyo ya kuchoma makusudi.
 
Shosti naenda hapo kununua vyakula
Sina biashara hapo
Napendaga hilo soko
Ooooh umenitisha mnooo yaan, aseeeh nawahurumia hawa wanaochomewa biashara zao. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ooooh umenitisha mnooo yaan, aseeeh nawahurumia hawa wanaochomewa biashara zao. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ooh pole aisee
Inasikitisha sana
Na hali ilivyo ngumu sasa
 
Back
Top Bottom