Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

Wafanyabiashara hasa wengi jambo la kukatia bima shughuli zao wanalionaga kama upuuzi fulani hapa UK bima hukatwa kwanza na ndiyo licence hutolewa.

N. B, BIMA ILIVYO YA LAZIMA KWENYE MAGARI NA KWENYE BIASHARA UWEPO ULAZIMA HUO.
Kampuni za bima nazo huwa zinaangalia kitu cha kuwakatia bima wateja, eneo kama lile halina mpangilio, moto kutokea sio kitu cha ajabu
 
Zimamoto wana vituko sana alaf pale na ofisi yao ni karibu sana.
Siku zingine wanasingizia barabara kwenda eneo la tukio haipitiki mara mitaa imebanana, sasa leo watakuja na lipi?

Hakuna maji
Au diesel
 
Mbona kama kupata mabati used itakuwa kazi sasa
 
''...kwenye nchi za Kiafrika kuna matatizo mengi sana, lakini tatizo kubwa ni waafrika wenyewe...''
 
Enzi ya Makonda haya mambo Hayakuwepo. Rc Makala ameshafail, Hangaya yeye anatuga Tu Kila Siku Hakai Nchini. Acha Watu Wachome Miundombinu Tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu analitaka hilo eneo
 
Repoti ikikamilika utaambiwa chanzo ni teja mmoja aloenda washa sigara kwa jiko la mama lishe
 
Watoe ratiba ya kuunguza masoko ili tujipange kisaikolojia
 
1. Kko
2. Karume
3. Mwenge
4. Vetenari
5. Where next?
Orodha ni hii tu au kuna mengine umeyashau? Nadhani masoko yalyoungua ni mengi kidogo kuzidi haya uliyoyataja hapa
 
Nina Rafiki yangu kajichanga changa kafungua Duka hapo, Watu wamemuachia Fremu tu
 
Muda ni uleule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…