Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Nahitaji meza ya kuwekea jiko la gesi kama hicho budget yangu 65k ukipata nishtue
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji meza ya kuwekea jiko la gesi kama hicho budget yangu 65k ukipata nishtue
Hao ndo wabongo [emoji16]Unauza bidhaa used ila bei ni za bidhaa mpyaa
Atakae Wahi Hii Kitu.
Kitanda na godoro lake
Bei : 460,000 vyote
Piga simu au whatsapp: 0752329591
View attachment 2560233
Mkuu kama gani inauzwa sawa na mpya? Kuna zingine zinakua mpya na naandika kua ni mpya, ila used zote unazoona hazina bei ya mpya boss, tafurahi ukinipa maoni yako na mfano.Unauza bidhaa used ila bei ni za bidhaa mpyaa
Karibu bossUnyama
Hao ndo wabongo [emoji16]
Nahitaji meza ya kuwekea jiko la gesi kama hicho budget yangu 65k ukipata nishtue View attachment 2565448
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Showcase bei gani?Boss wala hakuna hicho kitu, bei zote ni za used, watu wanachanganya kitu kimoja, zote zaweza kua kabati, au Tv au showcade au chochote, lakini material tofauti, sasa unakuta mtu anauza dressing table mpya kabisa kwa 170,000, ila ni yale material ya kichina ambayo baada ya miezi y ikimwagiwa maji, au kubamishwa hamishwa inaharibika, ila mwingine anakuja pia na dressing table ila used anauza 190,000 na ni material harisi ya mbao ngumu au zile za material magumu za prcadeco au maduka ya furnitire za kutoka nnje, na alinunua laki 6, huezi sema hiyo bei ni kubwa kulinganisha na huyo fundi wa mtaani alietumia material ya kichina yake yanakua kama sillingboard.
Prices ziko sawa boss.
Kwahiyo jamaa ni dalali?Anapost hapa vitu used (anaconnect wauzaji na wanunuaji) hivyo anapost na kuna number yake hapo juu Mkuu, ukipenda kitu wala usicomment hata, just mpigie tu direct au mtumie sms hakuna shida , si lazima umfate inbox.
Acha tu mwamba. Ila shida ni CCM ndio wanasababisha yote haya. Hali imekuwa ngumu vijana tunashindwa kumudu vitu vya gharama za kawaida kabisa.Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
Vitanda vya gesti huwa unafahamu aliyelalia na fundi aliyetengeneza?Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
Mkuu lakini ni vizuri kuliko kulala chini kabisa, wengine wanauza sababu anataka kununua kikubwa zaidi, au kizuri zaidi, na anaenunua ananunua sababu either hana pesa ya kununua kipya, au amekipenda tu, hivyo ni sawa tu mkuu, uwezo wetu unatofautiana boss.Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
Yes boss me dalaliKwahiyo jamaa ni dalali?
Sawa boss, chukua number yangu 0752329591 zipo.Mkuu me nahitaji freezer dogo kwaajili ya wife atengeneze ice cream auze mtaani