90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
- Thread starter
- #161
Good advise, basi nitawatangazia hili mkuu, Asante.Nashauri usiruhusu mtu kutangaza biashara yeye mwenyewe....
Badala yake mtu atangaze kupitia kwako lasivyo watavamia matapeli humu na picha za bidhaa za kuokota mitandaoni watu wapigwe humu uzi wako uharibike