SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Haya siku nyingine tena, Wale mnaouza vitu vyenu, njoo inbox au piga simu au tuma ujumbe wa whatsapp : 0752329591

Kama pia hutaki hata mimi nikufahamu usijari, sina haja ya kukufahamu, just nitumia telegram info zote tutawasiliana : 0752329591 na takusaidia kukiuza kwa haraka. Tujitahidi bei za used si mnazijua jamani? tuweke bei nzuri ambayo itafanya tuuze kwa haraka.

Asabteni wale wote mlionitumia vitu na tuneshaciuza vingi tayari, na vilivyobaki bado tunapambana, na wanunuzi basi mniunge mkono aisee, msinishushe sana😅.

Karibuni sana. 0752329591
Unawalinda vipi wateja wako kuuziwa bidhaa za wizi, na baadaye kujikuta wako matatizoni?

Nauliza kwa nia njema kabisa. Nina mpango wa kukuungisha TV siku za usoni.
 
Unawalinda vipi wateja wako kuuziwa bidhaa za wizi, na baadaye kujikuta wako matatizoni?

Nauliza kwa nia njema kabisa. Nina mpango wa kukuungisha TV siku za usoni.
Ok swali zuri, kitu cha kwanza ni kwamba naunganisha mteja na muuzaji, so mimi ndio mtu wa kati, hivyo mteja wangu anaenunua asiwe na wasiwasi sababu chochote ninachokiuza nakihakiki mwenyewe kwamba ni legit, ikiwa mnunuzi itamletea shida basi mnunuzi atanirefer na nitahudika. Thats why wanaonifata niuze bidhaa zao, wengi bidhaa zinakua majumbani mwao, au sehemu zao za kazi. So usijari mkuu mimi nipo on behalf ya mnunuzi.
 
Bei gani hii mdau ?
Ishauzwa boss wangu, chukua hii👇
超级截屏_20230321_105829.png
 
Vp tunaruhusiwa kutangaza biashara zetu katika uzi wako??
 
Haya kabati hilo
Mbao ngumu na smooth from Orcadeco (lina 4 month)
超级截屏_20230321_184632.png
超级截屏_20230321_184643.png

Price : 480,000
Contact: 0752329591
 
Karibuni karibuni, leteni vitu used mnavotaka kuuza hata kwa dharula, njooni pia mnunue vilivyopo😊, karivuni sana, niwatakie siku njema.
 
Hizi bei zenu zinanikanganya mimi mkenya. Hela ndefu sana hizo! 😃
 
Back
Top Bottom