SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

SOLD.

Nauza Tv yangu 32inch na hilo Kabat la vyombo apo, sio la kichina, nimelichonga la mbao ngumu.
Kabati : 170,000
Tv: 220,000
Ukichukua vyote ni 350k
Location: Urafiki dsm
Contactz: 0752329591
IMG-20230318-WA0010.jpg
IMG-20230318-WA0011.jpg
IMG-20230318-WA0012.jpg
IMG-20230318-WA0014.jpg
Picha tu amepigia simu camera haiko vizuri lakini ni vizuri sana sana, njoo uvione uchukue.
 
Microwave - Kenwood
Price : 135,000
Location: Mabibo.
contact: 0752329591
Dah bei sawa na buree mkuu, ngoja niforce mazingiraaa apa nikifanikiwa nakuja kuwahi, ilo kabat doh ntaliwahi
Karibu sana Mkuu.
 
Haya Wakuu, is another day. Natumai wote mko wazima wa afya na mmeamka na nguvu na hali mpya. Wenye kazi pigeni kazi kwa nguvu zote na wenzangu tung'ang'ane tu hivyo. Mlio na udhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu.

Basi msisahau kuniungisha aisee, hapa utapata mavitu yote used kwa bei nzuri, we ukitaka chochote niambie, pia ukiwa na chochote unataka kuuza niletee tuuze, hata nyumba, gari, shamba, vyombo vya ndani, we lete tuuze, nauza kika kitu kasoro binadamu na nyara za serikali😅. (Jokes kidogo si mbaya)

Anyway niwatakie siku njema, angalia mavitu uje ununue.
 
Wakuu Adjustable Showcase
Unaweza kui adjust kama unavoona kwenye picha.
Imetumika miezi mitano (5) tu
Price: Njoo na 190k tu
Maongezi kidogo yapo (kidooooogo)
Contact: 0752329591
Mahali ilipo: Gongo la mboto.
Kwa wanaopenda vitu unique karibuni sana.
IMG-20230320-WA0008.jpg
IMG-20230320-WA0009.jpg
 
Nauza Tv yangu 32inch na hilo Kabat la vyombo apo, sio la kichina, nimelichonga la mbao ngumu.
Kabati : 170,000
Tv: 220,000
Ukichukua vyote ni 350k
Location: Urafiki dsm
Contactz: 0752329591
View attachment 2557079View attachment 2557080View attachment 2557081View attachment 2557082 Picha tu amepigia simu camera haiko vizuri lakini ni vizuri sana sana, njoo uvione uchukue.
kiongozi kuwa makini na bei tv inch 32 kwa huyu jamaa unapata mpyaaa kwa 200000 ebu pitia huu uzi unapoweka bei ujue
View attachment 2559190
 
kiongozi kuwa makini na bei tv inch 32 kwa huyu jamaa unapata mpyaaa kwa 200000 ebu pitia huu uzi unapoweka bei ujue
View attachment 2559190
Boss, naelewa mkuu, na Tv ziko na features tofauti, ndio sababu unaweza kuta zote ni 32Inch LED then bei zikawa tofauti, it depends, ndio sababu wanaokua wanafahamu utofauti wanaona iko sawa, mpe hiyo model then akwambie price yake ikowa mpya (hiyo ni Europe Tv) , na imeshauzwa tayari.
 
Nyingi za hiyo bei ya laki 2, zinakua na sound mbovu na pia muonekano wa picha unakuaga angavu for the first 2 month baada ya hapo inaanza kupunguza ubora, kwa wanaocheza video games kama play station wanaelewa , kuna mda hua hazikubali 4k videos quality, pia na mambo mengine, inakua ipo just normal. So hata ndio ababu kuna features usipokua makini utakimbilia za 200k na ukajikuta umepata kitu sio kile unachohitaji. Shukrani.
 
Haya siku nyingine tena, Wale mnaouza vitu vyenu, njoo inbox au piga simu au tuma ujumbe wa whatsapp : 0752329591

Kama pia hutaki hata mimi nikufahamu usijari, sina haja ya kukufahamu, just nitumia telegram info zote tutawasiliana : 0752329591 na takusaidia kukiuza kwa haraka. Tujitahidi bei za used si mnazijua jamani? tuweke bei nzuri ambayo itafanya tuuze kwa haraka.

Asabteni wale wote mlionitumia vitu na tuneshaciuza vingi tayari, na vilivyobaki bado tunapambana, na wanunuzi basi mniunge mkono aisee, msinishushe sana😅.

Karibuni sana. 0752329591
 
Carpet la nyasi (ziko 2)
Urefu 5M, upana 1M
Bei: 150,000 zote
Contact: 0752329591
Bado mpya.
超级截屏_20230321_105720.png
 
Wahi Fasta Jiko la gesi tupu
Pia Oven ni gas
Price : 260,000
Location: Tabata Segerea.
Contact: 0752329591
超级截屏_20230321_110637.png
 
Haya wale wa uhakika na kuhamisha hamisha vifaa vya umeme.
Cable Reel hiyo
Urefu 25Mt
Price: 140,000
Contact: 0752329591
超级截屏_20230321_110437.png
 
Back
Top Bottom