SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Boss wala hakuna hicho kitu, bei zote ni za used, watu wanachanganya kitu kimoja, zote zaweza kua kabati, au Tv au showcade au chochote, lakini material tofauti, sasa unakuta mtu anauza dressing table mpya kabisa kwa 170,000, ila ni yale material ya kichina ambayo baada ya miezi y ikimwagiwa maji, au kubamishwa hamishwa inaharibika, ila mwingine anakuja pia na dressing table ila used anauza 190,000 na ni material harisi ya mbao ngumu au zile za material magumu za prcadeco au maduka ya furnitire za kutoka nnje, na alinunua laki 6, huezi sema hiyo bei ni kubwa kulinganisha na huyo fundi wa mtaani alietumia material ya kichina yake yanakua kama sillingboard.

Prices ziko sawa boss.
Hao ndo wabongo [emoji16]
 
Haya kwa anaehitaji simple dressing Table
NEW NEW - Ni mpya kabisa sio used
Price: 100,000 tu.
Karibu.
Call/Whatsapp: 0752329591
 
Showcase bei gani?
 
Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
 
Anapost hapa vitu used (anaconnect wauzaji na wanunuaji) hivyo anapost na kuna number yake hapo juu Mkuu, ukipenda kitu wala usicomment hata, just mpigie tu direct au mtumie sms hakuna shida , si lazima umfate inbox.
Kwahiyo jamaa ni dalali?
 
Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
Acha tu mwamba. Ila shida ni CCM ndio wanasababisha yote haya. Hali imekuwa ngumu vijana tunashindwa kumudu vitu vya gharama za kawaida kabisa.
 
Umasikini kitu kibaya sana. Unawezaje kulalia kitanda ambacho kalalia mtu usiemfahamu na wala fundi aliyetengeneza na ukapaga usingizi
Mkuu lakini ni vizuri kuliko kulala chini kabisa, wengine wanauza sababu anataka kununua kikubwa zaidi, au kizuri zaidi, na anaenunua ananunua sababu either hana pesa ya kununua kipya, au amekipenda tu, hivyo ni sawa tu mkuu, uwezo wetu unatofautiana boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…