SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Huawei Router Connector (NEW)

Model: S5720-52P-PWR-LI-AC
Ports: 48ports 10/100/1000 base T ports, 4 Gig SFP ports
Fowarding perfomance: 87 Mpps/ 144 Mpps
PoE support: PoE+
Switch capacity: 336 Gbit/s
Power: AC power supply supporting RPS

AddOns:
Managable
Supports both GUI and CLI
Layer 3 switch

Njoo na 2,200,000 boss akuachie.

NOTE: Maongezi kidogo yapo.

Contact: 0752329591
 

Attachments

  • IMG-20230327-WA0005.jpg
    102.1 KB · Views: 14
Kochi hizi mbili mpya Kabisa sio Used
Price 200,000 tu zote (fixed)
Location: Kaliakoo
Contact: 0752329591
 
Hizo mbili zote kwa wale wanaopenda vitu vizuri ( Sio used ni Mpya)
Made from USA
*Corded
*Adjustable blade

Price: 200k zote mbili

NOTE: Ni Og na unique (unaweza google zaidi kujionea)na zina speed, dukani zinauzwa 150k kila moja so kwa mbili ni 300k ila anakuuzia kwa 200k zote mbili.
 
Sofa hilo la watu watano (5)
Hapo liko store limekaa mda kidogo ila halitimiki, so bado liko katika hali ya ubora ni kufuta vumbi tu kukalia.

Price: 290,000
Location: Kunduchi Couner, jirani kabisa na Royal oven, ukifika hapo nasi umefika.

Contact: 0752329591
 
Carpet hilo smoooooth
Liko Kunduchi
100k
Contact: 0752329591
 
Feni hiyo imported kwa anehitaji iko very poweful na ni energy server.
Ipo kaliakoo
Haijatumika Tz kama unavoiona, inakaa mpya.
Price: 65000 tu
Contact: 0752329591
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…