SOKO: Wanaohitaji kununua vitu used kwa bei ndogo pitieni hapa

Heee akat 150k unapata mtaan kochi jipya sjui wauzaj wavitu used online huwa mnawaza nn
Boss, yako makochi mawili (2) sio moja, likiwa moja ndio unaweza.pata used hata kwa 90-100k, na zote za hizi ni za watu wawili , sio moja - ambapo mengi likiwa moja ndio unapata kwa hiyo bei jipya but moja.

Na pia bei yoyote ya used , kama haijaandikwa fixed basi ujue pia maongezi yapo. Karibu sana.
 
Anaehitaji kifridge kidogo
Price: 150,000
Ni kununua na kuanza kutumia, hakina shida yoyote.
Contact: 0752329591
 
Wale mnaohitaji Glass kwa ajili ya restaurants, ama cafe, ama bar, nyumbani nk. Hizi hapa.
Ni zile ngumu kabisa, hata kama una watoto watundu hukuvunjia glass zako basi nunua hizi wawekee and thank me later.

Price: 4000 @1, Lakini ukinunua nyingi, kuanzia 12 nakuendelea unapata punguzo.

Hata ukitaka pc 100 unapata. So hizi ni sample unaweza chagua kisha nicontact: 0752329591

Location : Tegeta wazo.

Wahi jipatie zako, kabla hazijaisha.
 
Gas Cooker 3plate, 1plate umeme.
Oven.
Vyote viko sawa.
Price:210,000
Karibu: 0752329591
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…