90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
- Thread starter
- #221
Hahaha kweli boss mzigo unakufikia, karibu sana ununue😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unautani wa ngumi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kweli boss mzigo unakufikia, karibu sana ununue😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unautani wa ngumi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii michezo hapanaEeeh wateja popote pale ukiagiza kitu unaletewa, hata huko mpunguzi mzigo unafika, hata mpwayungu village tunakufikishia.View attachment 2569054
Jamani tunawaletea😁 na vinafika eti, agiza mkuu unafikishiwa mlangoni😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii michezo hapana
Tv peke yake ipo laki 6,Vinauzwa vyote
Tv Hisense Smart 4k Inch 65 (full documents) - 1,650,000
Showcase iliobebe Tv in 5.8 - 230,000
Showcase draw moja 4ft - 160,000
MDF cofee table (black) ya kioo - 150,000
Contact: 0752329591
View attachment 2553526View attachment 2553527View attachment 2553529View attachment 2553530
Kama huna hela kaaa kimya ,TV inch 65 upewe kwa laki 6 kweli hata kama ni ya wizi sio hvyo hiyo ni dharauTv peke yake ipo laki 6,
mfuko wa shati
hujui biashara wewe Kaa kimya,..biashara maongezi...Kama huna hela kaaa kimya ,TV inch 65 upewe kwa laki 6 kweli hata kama ni ya wizi sio hvyo hiyo ni dharau
Acha Ushambahujui biashara wewe Kaa kimya,..biashara maongezi...
nimekubali dirisha hilo, kipupwe kama uko koko vileNauza kitanda bila Godoro
Nakupa na bedside yake
Ni mbao ngumu sana
Bei ni 320k
Kipo TemboniView attachment 2576903
Au sionimekubali dirisha hilo, kipupwe kama uko koko vile
Kitanda safi sanaa hapo nakunja mtoto wa kizaramo vizuri mpaka analowaaa analowaaa ananyeshewa na mvuaaaNauza kitanda bila Godoro
Nakupa na bedside yake
Ni mbao ngumu sana
Bei ni 320k
Kipo TemboniView attachment 2576903
Leta pesa sasaKitanda safi sanaa hapo nakunja mtoto wa kizaramo vizuri mpaka analowaaa analowaaa ananyeshewa na mvuaaa