King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Kwanini washindwe kuwalipa hesabu unaijua kweli, nani atamfunga Paka kengele!We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini washindwe kuwalipa hesabu unaijua kweli, nani atamfunga Paka kengele!We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.
Sio sokoine in uwanja wa ndege wa zamani nyuma ya sidoLeo Dr Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Cha ajabu anakwambia hadi watu wameanza kuingia hapo Sokoine!Sio sokoine in uwanja wa ndege wa zamani nyuma ya sido
Hawa ni watu wanao ishi kwa mazoeaCha ajabu anakwambia hadi watu wameanza kuingia hapo Sokoine!
Hahahahaha huijui Mbeya weweChama cha Ufipa wanakuambia ndo ngome yao hiyo! Kwa ujio wa JPM leo ni kupigilia msumari tu Tulia ashalichukua Jiji Hilo mapema asubuhi!.
Wimbo wenu wa udikteta ulisha chuja,wazungu wenu wanawashangaa dikteta gani anaenda kuomba kura tena kwa unyenyekevu na kupiga magoti.Madikiteita wote wako hivyo, nimefanya hiki au kile , upuuzi. Hamuoni raction ya watu kuwa hakuna anayethamini ujinga huo. People need FREEDOM
Sawa kwani kuna ubaya?Watu wamewahi ili kuja kuangalia show za wasanii halafu wengi wameletwa na malori
Tunategemea mtu akataliwe hapo Mbeya leo.Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali...
Trump kafanya kazi lakini debate imefanyika .Debate fanyeni na akina Shibuda.
Dr Magufuli kazi zake zinaonekana bwashee!
Meko.. kupiga magoti hoyeeee..Nakuletea yanayojiri
Hapa ni mapokezi yake IWAWA mbeya Jana wakimpokea kwa mkutano utakaofanyika leo...
CCM watueleze wana taka kututawala au kutuongoza?Nakuletea yanayojiri
Hapa ni mapokezi yake IWAWA mbeya Jana wakimpokea kwa mkutano utakaofanyika leo
Meko..Kupiga magoti oyeeee..Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali.
Karibu.
Updates;
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
Katika hao 100,000. Wacheza chandimu ni 80,000We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.