Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

🤣Munaumiza watu mioyo asubuhi asubuhi. Tulieni waone wenyewe. 🤣
 
Madikiteita wote wako hivyo, nimefanya hiki au kile , upuuzi. Hamuoni raction ya watu kuwa hakuna anayethamini ujinga huo. People need FREEDOM
Wimbo wenu wa udikteta ulisha chuja,wazungu wenu wanawashangaa dikteta gani anaenda kuomba kura tena kwa unyenyekevu na kupiga magoti.
 
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali.
Karibu.

Updates;
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.

Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
Meko..Kupiga magoti oyeeee..
Na bado.
 
Back
Top Bottom