Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Tunaambiwa na tunaonaga watu wanaletwa na mabasi na maroli lakini Mbeya sasa watakuwa wameletwa na treni maana iti isi tuu machi. Tathimi inaonyesha wamefunika kanda ya ziwa hata wale wa Kigoma wanafuata. CCM imeenda mbali hata kuwanunu wenye maduka, mamalishe na wachuuzi wote wako barabarani, wamenunuliwa wapo uwanjani jamani kwanza ni hatari kuwa na msongamano mkubwa hivi unaweza kusababisha watu kuumia bure.
Vile vile CCM imevuka mipaka kwani viongozi wote wa makanisa na misikiti hapa mbeya na waumini wao wamenunuliwa wote na CCM kibya zaidi watu wenyeumri mkubwa pia wamekuja kwa wingi kitu ambacho kuwanunua hawa si vizuri kwani wengine ni wazee sana si wangewaacha wapumzike.
 
Hakuna camera?? Zilete picha??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tshirt na kofia mpya bure cha msingi upande basi liendalo mkutanoni!Ndivyo ilivyokuwa kigoma!
 
Tunaambiwa na tunaonaga watu wanaletwa na mabasi na maroli lakini Mbeya sasa watakuwa wameletwa na treni maana iti isi tuu machi. Tathimi inaonyesha wamefunika kanda ya ziwa hata wale wa Kigoma wanafuata. CCM imeenda mbali hata kuwanunu wenye maduka, mamalishe na wachuuzi wote wako barabarani, wamenunuliwa wapo uwanjani jamani kwanza ni hatari kuwa na msongamano mkubwa hivi unaweza kusababisha watu kuumia bure.
Vile vile CCM imevuka mipaka kwani viongozi wote wa makanisa na misikiti hapa mbeya na waumini wao wamenunuliwa wote na CCM kibya zaidi watu wenyeumri mkubwa pia wamekuja kwa wingi kitu ambacho kuwanunua hawa si vizuri kwani wengine ni wazee sana si wangewaacha wapumzike.
Ha ha ha unachanganyikiwa sasa. Nani anayeweza kuwanunua watu wote hawa?.Watu wamechoka kuwa na mbunge mzigo. Sugu kawafanyia nini watu wa Mbeya?.
 
CCM Mbeya ni funikabov.
wengine wabaki nyumbani wataangalia kwenye luninga,msongamano ni mkubwa akuna pakuweka mguu.
 
Hakuna camera?? Zilete picha??

Everyday is Saturday............................... 😎
Kuna video nimeiona ya huko Mbeya, baada ya wasanii tu kumaliza kuimba ile wanasiasa wameanza kutoa hotuba zao tu wananchi wengi kishenzi wanasepa zao kurudi majumbani.
 
Ha ha ha unachanganyikiwa sasa. Nani anayeweza kuwanunua watu wote hawa?.Watu wamechoka kuwa na mbunge mzigo. Sugu kawafanyia nini watu wa Mbeya?.

Upinzani umesha kufa,kwanini mnateseka na kuingia ghalama?
 
Ha ha ha unachanganyikiwa sasa. Nani anayeweza kuwanunua watu wote hawa?.Watu wamechoka kuwa na mbunge mzigo. Sugu kawafanyia nini watu wa Mbeya?.
Tulia Mikopo anasemaje mkuu?
 
Mama muuza hebu ongeza chai kikombe kimoja hapa,

Huu Uzi bila picha itakua ni chai isiyo na sukari
 
Acha propaganda za maji taka.CCM imeshakufa na ushahidi ni huu hapa.CCM tokea uhuru haijawahi kupiga magoti ili kuomba kura ila kwa sasa hivi maji yapo shingoni!
EjH8hNSWoAEeB4V-1.jpg
 
Tulia Ackson anamwaga sifa ya mambo mazuri yaliyofanyika Mbeya mjini.

Sasa najiuliza hapa unamtengaje Sugu na mafanikio ndani ya jimbo lake?

Tulia anamfanyia kampeni Sugu huku akidhani anampamba Magufuli peke yake.

Aliyewaroga ccm kafa, hawajielewi hawa watu.
Huu mkutano ni wa JPM. Tulia ataendelea siku nyingine . Siasa kama siasa.
 
Na watoto wetu mmewarudisha nyumbani ili waje kumuangalia magufuli uwanjani hapo si sawa watoto kukosa masomo kisa kampeni za ccm
 
Wana Mbeya kuleni music LIVE wa wasanii wa ccm kisha sikilizeni hotuba ILA kura zenu kwa Sugu na na yule nguli wa sheria Tz
 
TBC wapo vizuri sana kwenye kurusha matangazo ya kampeni za vyama. Naona documentary za maendeleo ikioneshwa kwenye hotuba za wagombea.
 
Hata kwny kuonyesha hotuba za polepole akimtukana matusi Lissu Tbc hua wako njema sana.
 
Msiwaweke mama dada zetu muda mrefu wana majukumu nao, Mnawashindisha juani mnawapa 5000, kuweni na utu.
 
Back
Top Bottom