Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

Jamani watu si walisema hakuna wana Mbeya watakao enda mkutanoni
popote pale tz ukipeleka wasanii LAZIMA watu wengi waende kuona show za bure...hata Hashimu Rungwe angeongozana na akina Diamond mambo yangekuwa ni hayohayo hakuna mapya.
 
Trump kafanya kazi lakini debate imefanyika .

U communist ni mfumo mbovu duniani. Unamchukulia kiongozi wako kama mungumutu
utafiti wa Fox News unasema 44% ya wamarekani hawaoni umuhimu wa debate za wagombea urais na maamuzi yao kuhusu nani wampigie hayatatokana na "mshindi" wa debate!
 
Wadau hii ahadi tunaweza kuichukulia rahisi lakini ni kati ya ahadi nzito Sana ambayo inaweza kuwaacha wanaMbeya njia panda.

Leo Magufuli wakati akihutubia mkutano wa kampeni Mkoa wa Mbeya amesikia akisema endapo wana Mbeya watamchagua Tulia Aksoni na Madiwani wengi wa ccm Basi kikao cha kwanza kabisa ajenda iwe ni maombi ya Jiji la Mbeya kuwa na Wilaya Mbili.

Ni ngumu CCM kushinda Mbeya na kuendesha Halmashauri ya Jiji, labda kibabe.

Ila hii ahadi inaweza kuwasogeza CCM mbele kidogo na kubadili upepo wa Kisiasa.
 
@Moderate nomba mrekebishe jina la mheshimiwa hapo lisomeke Magufuli.
 
Wadau hii ahadi tunaweza kuichukulia rahisi lakini ni kati ya ahadi nzito Sana ambayo inaweza kuwaacha wanaMbeya njia panda..

Leo Magufuli wakati akihutubia mkutano wa kampeni Mkoa wa Mbeya amesikia akisema endapo wana Mbeya watamchagua Tulia Aksoni na Madiwani wengi wa ccm Basi kikao Cha kwanza kabisa ajenda iwe ni maombi ya Jiji la Mbeya kuwa na Wilaya Mbili..
Chambo + rushwa ya uchaguzi
 
Hizi sio siasa za kugawa na kutenga ?
Ndio lakini ukiangalia ni kati ya ahadi nzito sana hasa alivyosema kikao cha kwanza ni kutekeleza hilo.

Hakuna Mwana Mbeya ambaye hapendi kitu kama hiki kitokee.
 
Back
Top Bottom