paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
😂Wewe tulia msuguliwe ..baba yenu kasha omba uko nyie ni nani mpinge
SUBIRI KIDOGO
Sawa mkuu, Ila 28 October Kwa heri ya kuonana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Wewe tulia msuguliwe ..baba yenu kasha omba uko nyie ni nani mpinge
SUBIRI KIDOGO
Au vp bwanaTunataka debate siyo kupiga magoti!
Tumia hakili yako kupima hojaTunataka debate siyo kupiga magoti!
KweliDebate fanyeni na akina Shibuda.
Dr Magufuli kazi zake zinaonekana bwashee!
Toa point za kiutu mkuuHao mtakao wapata kwenda kwenye mkutano kwa malipo ya 5,000 muwape muda wa kuchemsha viazi vitamu na kuchukua chupa za maji. Msishishe watu na njaa wengine ni wagonjwa.
Mbona unateseka sana,,We kweli kilaza! piga hesabu kwa watu 10000 kwa malipo ya 5000 ni sh ngapi ? Utawalipa ! Endeeleeni kuweweseka.
Mmoja tu anatoshaHao wapimaji hawatatosha.
Kule Iringa waliosombwa saa 11.00 alfajiri walipotaka kuondoka mgambo waliwazuia. Walishinda na njaa kusubiri hotuba ya mgombea urais.Toa point za kiutu mkuu
Ssa ww kip kinakuuma,,? Huu ni ukubwa wa chama na uwezo wake..!! Kama vp siumwambie mboe akasaidie jahazWatu wamekuwa wanasombwa kwa mabasi na malori kutoka wilaya xote za mkoa wa Mbeya tangu jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia leo anasema sijui sugu amfanyaje......Wallah picha hii inanitia majonzi sana
Huyu Bi mkubwa anaonyesha amekata tamaa kabisa
Huyu jiwe!!!
We can't breathe
popote pale tz ukipeleka wasanii LAZIMA watu wengi waende kuona show za bure...hata Hashimu Rungwe angeongozana na akina Diamond mambo yangekuwa ni hayohayo hakuna mapya.Jamani watu si walisema hakuna wana Mbeya watakao enda mkutanoni
utafiti wa Fox News unasema 44% ya wamarekani hawaoni umuhimu wa debate za wagombea urais na maamuzi yao kuhusu nani wampigie hayatatokana na "mshindi" wa debate!Trump kafanya kazi lakini debate imefanyika .
U communist ni mfumo mbovu duniani. Unamchukulia kiongozi wako kama mungumutu
Chambo + rushwa ya uchaguziWadau hii ahadi tunaweza kuichukulia rahisi lakini ni kati ya ahadi nzito Sana ambayo inaweza kuwaacha wanaMbeya njia panda..
Leo Magufuli wakati akihutubia mkutano wa kampeni Mkoa wa Mbeya amesikia akisema endapo wana Mbeya watamchagua Tulia Aksoni na Madiwani wengi wa ccm Basi kikao Cha kwanza kabisa ajenda iwe ni maombi ya Jiji la Mbeya kuwa na Wilaya Mbili..
Ndio lakini ukiangalia ni kati ya ahadi nzito sana hasa alivyosema kikao cha kwanza ni kutekeleza hilo.Hizi sio siasa za kugawa na kutenga ?