The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Lete huo uzi niuone mkuu.
Asante mkuu. Ngoja kwanza niupitie uzi nijiridhishe.Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA
Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...www.jamiiforums.com
Mkuu haya ni maoni binafsi ya mtu mmoja wala haya uthibitisho wowote wa kisayansi/kiufundi. Hakuna kitu hapo bali majungu tu! SUA hakuna digrii za chupi.Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA
Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...www.jamiiforums.com
Sawa mkuu,uko sawa,lakini nikuambie tu,hii tuhuma ni ya kweli,na uthibitisho upo.Mkuu haya ni maoni binafsi ya mtu mmoja wala haya uthibitisho wowote wa kisayansi/kiufundi. Hakuna kitu hapo bali majungu tu! SUA hakuna digrii za chupi.
Duh! kama SUA ipo hivyo sasa kwengine kupo vipi si uozo kabisa ?Sawa mkuu,uko sawa,lakini nikuambie tu,hii tuhuma ni ya kweli,na uthibitisho upo.
Na kuna mengi sua ila hayatiliwi maanani,hii tuhuma ni mpaka mwanafunzi husika alikiri,na mwalimu alihojiwa,matokeo hayo yalifutwa,kwahiyo usifunge mjadala kwa kusema ni majungu.
Tungekua nje ya ID za jf,ningekupa na data kamili za baadhi ya degree za chupi sua,uende kufatilia,utapata ukweli,ongezea SP ya chupi moja kwa sasa iko inasoma masters palepaleππππ
Pia,kuhusu passmark kuwa 50,nikuambie tu,wengi wa wanafunzi pale hawafikii,ila nyongeza zipo zinafanyika inaitwa "kuwatoa".
Huu msemo wa sua ni ngumu ningependa kupata maelezo yake sawasawa ila hata wahusika wenyewe hawajawahi kunijibu.
Akili zako zimetimia kweli ?Hivi SUA kumbe ni Chuo Kikuu? Wanatoa PhD? Kuanzia lini?
are you serious?Hivi SUA kumbe ni Chuo Kikuu? Wanatoa PhD? Kuanzia lini?
hiyo nguvukazi inataka kufanya kazi za kilimo?Mje mtupe sababu kwanini Kilimo hakiendelei Tanzania,japo tuna ardhi bikra, maji ya kutosha,nguvu kazi.........Je nyie wataalam wa kilimo ni tatizo pia?
Chizi wewe!Hivi SUA kumbe ni Chuo Kikuu? Wanatoa PhD? Kuanzia lini?
Tz degree zipo ngapi na wale wanaoishia la saba,form 4 ni wangapi? Sidhani kama ni sahihi kusema wenye degree hawataki kujiajiri,labda ungesema policies mbovu za nchihiyo nguvukazi inataka kufanya kazi za kilimo?
Tatizo kubwa ni kujiona mimi nina degree kwa hivyo natakiwa kufanya kazi ofisini na siyo shambani
Shikamoo bibiMarahaba kijana. Ni kweli kabisa tulikuwa tunakimbizana sana na zile annual exams. Ningeamua kubaki pale ningekuwa Profesa mstaafuπ
Kama wanapewa maksi za kuwatoa mbona disco na supp ni nyingi sana chuoni hapo?Sawa mkuu,uko sawa,lakini nikuambie tu,hii tuhuma ni ya kweli,na uthibitisho upo.
Na kuna mengi sua ila hayatiliwi maanani,hii tuhuma ni mpaka mwanafunzi husika alikiri,na mwalimu alihojiwa,matokeo hayo yalifutwa,kwahiyo usifunge mjadala kwa kusema ni majungu.
Tungekua nje ya ID za jf,ningekupa na data kamili za baadhi ya degree za chupi sua,uende kufatilia,utapata ukweli,ongezea SP ya chupi moja kwa sasa iko inasoma masters palepaleπππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Pia,kuhusu passmark kuwa 50,nikuambie tu,wengi wa wanafunzi hawafikii,ila nyongeza zipo zinafanyika inaitwa "kuwatoa".
Huu msemo wa sua ni ngumu ningependa kupata maelezo yake sawasawa ila hata wahusika wenyewe hawajawahi kunijibu.
wenye degree ndiyo wangetoa ajira kwa baadhi ya hao wengineTz degree zipo ngapi na wale wanaoishia la saba,form 4 ni wangapi? Sidhani kama ni sahihi kusema wenye degree hawataki kujiajiri,labda ungesema policies mbovu za nchi
Siasa na kujipendekeza,elimu ya vitendo imepungua,kudahili wanafunzi wengi kuzidi uwezo,kile ni chuo cha kilimo chenye eneo kubwa la wazi linalofaa kwa kilimo ila halitumiki.Mje mtupe sababu kwanini Kilimo hakiendelei Tanzania,japo tuna ardhi bikra, maji ya kutosha,nguvu kazi.........Je nyie wataalam wa kilimo ni tatizo pia?
Kwa muktadha upi labda?Kama wanapewa maksi za kuwatoa mbona disco na supp ni nyingi sana chuoni hapo?
Nenda kasome shortcouse za OSHA kwanza you will beore marketableHabari wanasuaso Mimi ni mehitimu SUA kozi ya Bachelor of Environmental science and Management mwaka 2021. Naomba yoyote anisaidie niweze kupata kazi au mahali pa internship maana mtaani maisha sio poa..
Kuna mwanangu alikuwa lazima 4 au tano so ikabidi awe anasoma course zoye yaan elective course anachagua zote, jamaa kamaliza chuo kasoma course nying sanaWale wanangu wa SUA tulio maliza SUA kwa mbinde tujuane apa jamaan.Yan toka first yr ni Sup mpka third yr.Kwakwel siamini kma nilimalzaga aise.Cz ilikua noma yan mpka natokea kwenye list of graduant nshasota xna.Mpka nahisi nimepata psychological problems cz mara kwa mara naotaga nina Sup so nko na wanangu wa nguvu tunatia msuli Ili tukapge sup yetu.