Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

Mkuu haya ni maoni binafsi ya mtu mmoja wala haya uthibitisho wowote wa kisayansi/kiufundi. Hakuna kitu hapo bali majungu tu! SUA hakuna digrii za chupi.
 
Sawa mkuu,uko sawa,lakini nikuambie tu,hii tuhuma ni ya kweli,na uthibitisho upo.

Na kuna mengi sua ila hayatiliwi maanani,hii tuhuma ni mpaka mwanafunzi husika alikiri,na mwalimu alihojiwa,matokeo hayo yalifutwa,kwahiyo usifunge mjadala kwa kusema ni majungu.

Tungekua nje ya ID za jf,ningekupa na data kamili za baadhi ya degree za chupi sua,uende kufatilia,utapata ukweli,ongezea SP ya chupi moja kwa sasa iko inasoma masters palepale😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Pia,kuhusu passmark kuwa 50,nikuambie tu,wengi wa wanafunzi hawafikii,ila nyongeza zipo zinafanyika inaitwa "kuwatoa".

Huu msemo wa sua ni ngumu ningependa kupata maelezo yake sawasawa ila hata wahusika wenyewe hawajawahi kunijibu.
 
Tungekua nje ya ID za jf,ningekupa na data kamili za baadhi ya degree za chupi sua,uende kufatilia,utapata ukweli,ongezea SP ya chupi moja kwa sasa iko inasoma masters palepale😁😁😁😁

Pia,kuhusu passmark kuwa 50,nikuambie tu,wengi wa wanafunzi pale hawafikii,ila nyongeza zipo zinafanyika inaitwa "kuwatoa".

Huu msemo wa sua ni ngumu ningependa kupata maelezo yake sawasawa ila hata wahusika wenyewe hawajawahi kunijibu.
Duh! kama SUA ipo hivyo sasa kwengine kupo vipi si uozo kabisa ?

Elimu ya Tz inaelekea shimoni kabisa..
 
Mje mtupe sababu kwanini Kilimo hakiendelei Tanzania,japo tuna ardhi bikra, maji ya kutosha,nguvu kazi.........Je nyie wataalam wa kilimo ni tatizo pia?
hiyo nguvukazi inataka kufanya kazi za kilimo?

Tatizo kubwa ni kujiona mimi nina degree kwa hivyo natakiwa kufanya kazi ofisini na siyo shambani
 
Tz degree zipo ngapi na wale wanaoishia la saba,form 4 ni wangapi? Sidhani kama ni sahihi kusema wenye degree hawataki kujiajiri,labda ungesema policies mbovu za nchi
 
Sawa mkuu,uko sawa,lakini nikuambie tu,hii tuhuma ni ya kweli,na uthibitisho upo.

Na kuna mengi sua ila hayatiliwi maanani,hii tuhuma ni mpaka mwanafunzi husika alikiri,na mwalimu alihojiwa,matokeo hayo yalifutwa,kwahiyo usifunge mjadala kwa kusema ni majungu.

Tungekua nje ya ID za jf,ningekupa na data kamili za baadhi ya degree za chupi sua,uende kufatilia,utapata ukweli,ongezea SP ya chupi moja kwa sasa iko inasoma masters palepale😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Pia,kuhusu passmark kuwa 50,nikuambie tu,wengi wa wanafunzi hawafikii,ila nyongeza zipo zinafanyika inaitwa "kuwatoa".

Huu msemo wa sua ni ngumu ningependa kupata maelezo yake sawasawa ila hata wahusika wenyewe hawajawahi kunijibu.
Kama wanapewa maksi za kuwatoa mbona disco na supp ni nyingi sana chuoni hapo?
 
Tz degree zipo ngapi na wale wanaoishia la saba,form 4 ni wangapi? Sidhani kama ni sahihi kusema wenye degree hawataki kujiajiri,labda ungesema policies mbovu za nchi
wenye degree ndiyo wangetoa ajira kwa baadhi ya hao wengine
 
Mje mtupe sababu kwanini Kilimo hakiendelei Tanzania,japo tuna ardhi bikra, maji ya kutosha,nguvu kazi.........Je nyie wataalam wa kilimo ni tatizo pia?
Siasa na kujipendekeza,elimu ya vitendo imepungua,kudahili wanafunzi wengi kuzidi uwezo,kile ni chuo cha kilimo chenye eneo kubwa la wazi linalofaa kwa kilimo ila halitumiki.
 
Kama wanapewa maksi za kuwatoa mbona disco na supp ni nyingi sana chuoni hapo?
Kwa muktadha upi labda?
Siizungumzii sua nzima bali baadhi ya colleges zake almost baadhi ya idara.

Siongei hapa kuipondea Sua,bali tunatamani watu wote wawe makini na kazi zao,hata haya ninayoandika sio kwa Sua yote,watu wa VET wako makini na elimu hasa upande wa wanyama,vipi pita hapa agribussiness uone tunavyofanya business kwenye elimu.
 
Habari wanasuaso Mimi ni mehitimu SUA kozi ya Bachelor of Environmental science and Management mwaka 2021. Naomba yoyote anisaidie niweze kupata kazi au mahali pa internship maana mtaani maisha sio poa..
Nenda kasome shortcouse za OSHA kwanza you will beore marketable
 
Wale wanangu wa SUA tulio maliza SUA kwa mbinde tujuane apa jamaan.Yan toka first yr ni Sup mpka third yr.Kwakwel siamini kma nilimalzaga aise.Cz ilikua noma yan mpka natokea kwenye list of graduant nshasota xna.Mpka nahisi nimepata psychological problems cz mara kwa mara naotaga nina Sup so nko na wanangu wa nguvu tunatia msuli Ili tukapge sup yetu.
giphy.gif
Kuna mwanangu alikuwa lazima 4 au tano so ikabidi awe anasoma course zoye yaan elective course anachagua zote, jamaa kamaliza chuo kasoma course nying sana
 
Back
Top Bottom